Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakati Yanga wakielekea kumtambulisha Djuma Shabani pamoja na Jesus Moloko, wakala Mwenye orodha ndefu ya Wachezaji wa DRC, keshatuwekea picha hapo ili simulizi tuandike wenyewe!! Kama...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu jamaa namkubali sana yuko faster kwenye maamuzi
1 Reactions
0 Replies
673 Views
MANARA anadai eti bilioni 223 za mkataba wa Azam na TFF zinaweza kupanga elfu kumi kumi zikafika brazil na kurudi umbali wa kutoka dar es salaam hadi brazil ni kama kilometa 9000 na kurudi ni...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwa namna yule kiumbe alivyo moto, na anavyojua kuupiga mwingi, sioni ni kwa nini asifunge magoli hamsini kwa msimu mmoja huko Ufaransa, labda kwa roho yake nyeupe aamue kuwapa assist kina Neymar...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Baada ya mazungumzo na tetesi nyingi kuhusu Romelu Lukaku Kurejea Darajan, Hatimaye ni rasmi sasa Lukaku is Blue. Lukaku amekuwa na kiwango bora sana toka alipoondoka ligi kuu ya Uingereza na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kwenye picha iliyonaswa katika utambulisho wa Khalid Aucho back ground kuna kombe linaonekana lina nembo ya GSM. Ningependa kujua hili ni kombe gani na walishinda lini au kule...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
🚨 Expected losses due to Messi's departure from Barcelona🚨 ✅ 50 million euros collected from taxes. ✅ The disappearance of the best-selling shirt in the world. ✅ 950 million euros sponsorship...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Chelsea hawakubahatisha kubeba ubingwa wa UEFA, kwa maana hiyo watabeba tena back to back, kiuhalisia ulaya nzima hakuna kocha world class wa kubattle na Tuchel kimbinu, hilo limedhihirika last...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Aiseee
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni FIFA, lipo katika kufanya majaribio ya mabadiliko ya baadhi ya sheria ambazo huwenda zikaja kuanza kutumika siku za usoni huku lengo kuu ikiwa ni...
7 Reactions
57 Replies
9K Views
Wasalaam, TFF inabd waweke sheria haiwezekani tuajiri magolikipa kutoka nje jamani kwa hili YANGA wametuabisha kabisa. Kama Taifa tutafakari hv Yanga wangemuchukua hata golikipa wa prison anafaa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Haya tena. Nawapongeza Yanga ingawa mambo ya uwanjani bado lkn naona msimu huu wamejitahidi kuwa serious na usajili. Kinachonishangazaga ni maandalizi yao ya timu. Hivi Sasa bado nadhani wapo...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Hizi sajili ninahofu nazo sana naona tunaenda kutolewa kwa aibu champions league na pia kuizawadia Simba kikombe cha 5 mfululizo. === Ambundo amewashusha presha mashabiki kwa kuwaambia kuwa kila...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mashindano makubwa ya draft yanatarajiwa kufanyka siku tatu tarehe 12/6/2020 mpaka 14/6/2020 maeneo ya Kitunda relini. Njoo uone mafundi wakubwa wakipiga kete kali
18 Reactions
347 Replies
43K Views
Chelsea kabeba cup jingine usiku wa leo (UEFA super cup) hakika huyu kocha Thomas Tuchel ananyota ya makombe ndani ya Chelsea, hutufanya sisi mashabiki wake tuzidi kunenepa hahahaah
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Jack Grealish amehamia Manchester City akitokea Aston villa ambako alikuwa nahodha. Huyu dogo ambaye amewahi kutukanwa matusi mengi asiyojua maana yake na baadhi ya Watanzania kuptia mitandao...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii ni mpya. Serikali imesema itajenga vituo 3 vya michezo kwenye mikoa ya Geita, Dodoma na Dar es Salaam ambapo kila kituo kitagharimu bil.3. Aidha Serikali itajenga kituo cha umahili wa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Matokeo ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania, ni Yanga ( Al-maaruf Kandambili) wamefungwa 1-0 na Maafande wa polisi Morogoro. Kandambili ambao wana udhoefu mkubwa wa kufungwa tokea kuanza kwa ligi...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Messi amepokelewa leo Paris na jiji hilo kusimama pale alipowasili na kupokewa na maefu ya wafaransa kuanzia airport hadi mitaa yote huku akiongozwa na msafara ulosheheni mapikipiki ya askari wa...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
“Tuna stress, hatujalipwa mwaka mzima.” Hiyo ni kauli ya mmoja wa waamuzi wanaochezesha mechi za Ligi Kuu bara msimu huu akifungukia sakata la baadhi ya waamuzi kuonekana wakiboronga kwenye mechi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…