Nina wasiwasi Messi atafunga magoli 50 ligi kuu Ufaransa

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
18,511
68,141
Kwa namna yule kiumbe alivyo moto, na anavyojua kuupiga mwingi, sioni ni kwa nini asifunge magoli hamsini kwa msimu mmoja huko Ufaransa, labda kwa roho yake nyeupe aamue kuwapa assist kina Neymar na Mbappe ili nao waonekane wako PSG, vinginevyo Messi ana unavu wa kutupia hata zaidi ya goli hamsini pale Ligue 1.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom