Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kufuatia gazeti la michezo la Mwanaspoti la leo Mei 6,2022 kuandika kuwa sare ya Simba SC dhidi ya Namungo FC na Azam FC kupoteza mchezo dhidi ya Kagera Sugar, Yanga SC yatanguliza kwenye michuano...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Taarifa za chini ya uvungu ni kuwa kiungo mshambuliaji chama amerudi kwao kwanza sababu ya mgogoro wake na simba. Ikiwa ni swala la yeye kutoiva na kocha hatari kutoka real Madrid Pablo franco...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Kwa kufanikiwa kumzuia Fiston Mayele asifunge goli kwenye mechi ya Simba na Yanga ya tarehe 30 APRILI 2022 basi nakushauri uende kanisani kwako unapo abudu ukatoe sadaka...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Kwangu Mimi Yanga SC iliyocheza Juzi na Ruvu Shooting FC ndiyo Yanga SC halisi na ule ndiyo Mpira wake. Nasikia Tajiri wa Ghorofani Posta Mpya aliomba Juzi Wasihonge ili kuona itakuwaje na baada...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Droo ya robo fainali, nusu fainali na fainali ya msimu wa 2021/22 UEFA Champions League zote zitachezeshwa katika tukio moja. Timu nane zilizobakia zitajua hatma yao kwa mashindano hayo makubwa...
4 Reactions
50 Replies
9K Views
Real Madrid imefanya maajabu, ni baada ya kupindua matokeo dakika za mwisho na kufanikiwa kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuiondoa Manchester City kwa jumla ya mabao 6-5. Hadi...
10 Reactions
61 Replies
7K Views
Naomba kuuliza kwenu wadau wa michezo , ile Sheria ya kusajiri na kuchezesha wachezaji kumi wa kigeni kwenye ligi ya ndani bado ipo? Na Kama ipo naomba ufafanuzi wa hili la Simba kuwa na wachezaji...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania NBC Premier League kupigwa leo ambapo Namungo FC anapepetana na Mnyama Mkali Mwituni Simba SC kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi. Mchezo huo unatarajiwa kuwa mkali...
8 Reactions
388 Replies
24K Views
Hakika wiki iliyopita tulishuhudia mechi nzuri na yenye mvuto miamba hiyo na mechi iliisha 4:3 sasa leo kwa mara nyingine ni marudiano huko dimba la santiago bernabeu ...
2 Reactions
78 Replies
5K Views
Wana JF tumekuwa wachangiaji wazuri sana wa mijadala juu ya vita inayoendelea huko ulaya kati ya mafahari watatu yaani Urusi, NATO na Ukraine.. mpaka tumefikia hatua tunabishana as if ni simba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Uyu mzee wa midadi leo amekuwa uchochoro mbele ya Obrey chola chirwa, Inaonekana alitumia nguvu kubwa Sana kumzuia mayele asifunge akasahau kule namungo kuna kiumbe mwingine anayetumia nguvu na...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Afrika nzima tayari inafahamu bado dunia tu kujua, team yenye mafanikio kuliko zote afrika mashariki na kati na inayoongoza kwa ubora katika ukanda huo huku ikiwa team inayoogopwa zaidi kutoka...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
AISEE sikutarajia kwa mtu kama Senzo, kwa msukule hiyo inajulikana linaishi mjini kwa ulaghai, uongouongo na kujipendekeza, hivi jana nani hajaona hali halisi ya uwanja , hii kujidanganya ni...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Nazani Cedric Kaze si kocha wa kiwango hiiiicho kama ambavyo inadaiwa. Upangaji wa timu na "Substitution"unamsumbua sana. Leo Yanga wamecheza mpira uliofanya akafukuzwa mara ya kwanza alipokuwa...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Refa kaikaba Yanga kwa kukataa lile bao halali la Ruvu shooting kwani kona au winga akikimbia na kumaliza uwanja na kutoa cross kwa vyovyote vile bao lile ni halali, vile vile ni kwenye kona...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwana Shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba. Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video...
7 Reactions
46 Replies
4K Views
Hatimaye Manchester United na Leicester City wamekubaliana dau la Pauni 80 milioni kwa beki wa kati Harry Maguire. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 anatarajiwa kufanyiwa vipimo pale Manchester...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Hapa ndipo inapojulikana tofauti Kati ya timu ya WANANCHI na timu ndogo ndogo ( vikundi vya wahuni). Derby ya YANGA vs SIMBA ambayo mwenyeji wake alikuwa Ni MWANANCHI imefanikiwa kuingiza pesa...
4 Reactions
143 Replies
13K Views
Nilidhani tungekuwa na mijadala ya kukataliwa kwa goli la wazi (Ruvu) na penati (Yanga) baada ya mchezo wa leo. Lkn story inayotamba midomoni ni ishu ya goli pekee. Nauliza wenzangu, hakukuwa na...
2 Reactions
4 Replies
748 Views
Hivi Kocha mwenye Akili Timamu unawezaje kuwaanzisha Wachezaji Waandamizi na waliotumia Nguvu Kubwa katika Derby badala ya Kuwatumia wale wasiokuwa na Nafasi na ambao hata Kiufundi tu Mechi hi...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom