Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Basi, miaka fulani nilikuwa nimeshawahi kufundishwa kubeti, lakini sikuwa nikibeti, Ila ile mechi ya PSG vs Chelsea fainali… ah! niliiona nitupiemo laki 1 kwa PSG nishinde 160K. Nilijiona usiku...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Simba sc inatakiwa isafishwe abaki muwekezaji tu pale, kuanzia idara ya habari hadi viongozi wote wapigwe chini. Waanze upya kiuongozi ndio mambo mengine yafuate, unaenda kwenye vita na jopo lile...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Happy Sunday Wana JF, Sina maneno mengi nadhani Wana sports fainali tulitazama wote iliyofanyikia pale Kenya. Nilishawahi kusema Morocco ni football brain na Jana wameonyesha hicho kitu, nawaza...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Timu ya LiverpoolFC imeitandika Arsenal kwa Goli 1-0 katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) kwenye Uwanja wa Anfield, leo Agosti 31, 2025. Goli pekee likifungwa na Dominik Szoboszlai raia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hili limeniacha hoi sana, linapokuja swala la kuvuja kwa jezi tena kwenye taasisi kubwa kama ya Simba na Jrutty. Hapa tuseme kuna watu ndani ya simba hawana vifua? Au kuna watu ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Yaani wachezaji wanavyocheza unaweza dhani ni timu ya wydad imeletwa kucheza na madagaska,wanacheza kitimu,na hata fighting spirity yao ni ya kitimu,hata mchezaji akifunga wote utaona wamefurahi...
2 Reactions
12 Replies
677 Views
Leo kocha morocco katangaza timu ya taifa,mimi simchukii lakini ni dhahiri hana uwezo wa kufindisha timu ya taifa na hata kuongea hawezi,nimemsikia leo ni wa kumhurumua tu. Nadhani ni mradi wa...
1 Reactions
12 Replies
890 Views
Miaka 90 si haba..! Kwa michuano ya ndani kama NBC na CRDB si haba inayo mafanikio pia ingawa inajulikana michuano ndani kuna janja janja nyingi, sasa Kimataifa tupoje.? Simba yenyewe inaendelea...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
1. Yanga imeruhusiwa kuwa timu pekee kuutumia uwanja wa Mkapa na mechi zao ni saa moja jioni watu wakiwa wametoka kwenye shughuli zao, Simba wataendelea kutumia uwanja wa KMC mechi za saa kumi...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakati wengine wakiendelea kujiimarisha na kujiweka sawa kuukabili msimu ujao, Kuna timu ilienda kuweka kambi hotelini na kujikita katika zoezi la swimming, huku wakicheza na timu za bodaboda wa...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Pamoja na kushinda kutwaa kombe la CHAN24 Madagascar inasalia kuwa timu yenye upambanaji mkubwa sana. Hata lile goli la tatu nahisi refa hakufanya maamuzi baada ya mchezaji wa madagascar...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Sallam Sk na Majani ndio watu wanao ogopwa sana na wasanii sababu ya misimamo yao kwenye kazi, ukizingua wanakwambia bila kucheka na ukileta masihara kwenye kazi wanakupiga chini. Mwanamuziki...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ngao ya jamii - wanaume Ngao yajamii - wanawake Mashabiki bora Afrika Ufunguzi wa kishindo AFL ubunifu - kibegi,simba day,whatsap channel,visit zanzibar [emoji23][emoji23][emoji23]
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari wadau Naombeni majibu ya hili swali. Kwa nini Aziz kii alietingisha Africa nzima.. na ameisaidia yanga sana na sana kwenye game kubwa na ngumu amekubaliwa kuuzwa kwa dola laki nane...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
"Niwe tu muwazi bado Nahitaji Mchezaji mmoja mwenye X Factor kwenye eneo la ushambuluaji, najua tumepata sapoti kubwa Sana kutoka kwa Rais Mo Dewji na mchango wake Msimu huu umekuwa mkubwa Sana"...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Login • Instagram "Mzize ameniambia kuwa wamemuomba abaki sababu wanamuhitaji Msimu Ujao wanashiriki ligi ya mabingwa, nikamwambia kwahiyo imekuwaje akaniambia wamesema watamboreshea maslai...
11 Reactions
75 Replies
4K Views
Nimeinununua moja ya kijani, kitambaa ni bomba sana lakini imeshaniudhi shingoni. Material waliyoweka kuzunguuka shingo sio laini (soft) kiasi cha kutia karaha kwenye ngozi na mishipa ya singo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
"Nimecheza na Yanga mara mbili nadhani sasa mechi ijayo ni muda wa kuwafunga kwa sababu hamna tena kisingizio, najua mechi itakuwa ngumu lakini tutajitahidi kadri ya uwezo wetu tushinde"...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa kitendo cha Clement Mzize kukubali aliekua msimamizi wake kukejeliwa na klabu pamoja na viongozi waliopo kwenye idara ya habari ya klabu ni kumkosea heshma na nimeshangazwa sana kuona Mzize...
5 Reactions
65 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…