Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yanga imeingia mkataba wa makubaliano na Kampuni za KILINET na N-Card kwa ajili ya kutengeneza kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na Wanachama wa klabu hiyo ambayo inaingia katika mfumo mpya...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Ukimsikiliza Afisa Mhamasishaji wa Yanga utaona namna gani anaumizwa na dhihaka anayofanyiwa na Watanzania wenzake ambayo hajawahi kufanyiwa akiwa nje ya Nchi yake pendwa aliyozaliwa na kuipenda...
12 Reactions
24 Replies
2K Views
Natambua kuwa pamekuwa na jitihada za kuingia naye mkataba wa awali. Pia inapasa tutambue kuwa biashara ni mchana na jioni mahesabu. Inawapasa kuwa makini zaidi kwa wakati ambao Asec Mimosas...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Taifa Stars inaelekea kukua vizuri na ufundi wake unaridhisha ingawa tumefungwa na Algeria nyumbani. Wachezaji wanajua kujiapanga uwanjani wakienda mbele na nyuma ki team work, wanaanzisha...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa Soka la Kimataifa, hasa ligi kuu Ya Uingereza kwenye big match basi watakuwa wanamfahamu huyu mtangazaji mahiri wa mpira wa miguu Mr Peter Drury Sasa ni rasmi kwamba...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanaandika Unapopata taarifa kwamba habari yao kubwa ilikuwa sio ya kweli na kesho wakubwa wa nchi tutakuwa na jambo kubwa 😃 Nadhani tunaelewana tukisema jambo kubwa 🧐 #NguvuMoja Je, litakuwa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu salam. Baada ya Fainali kati ya Golden State Warriors na Boston Celtics ningependa kufahamu kutoka kwa wapenzi wa Basketball ni lini tena ligi itarejea .
1 Reactions
6 Replies
776 Views
Maana nataka Kufungua kibanda umiza nikiangalia Bei ya Vifurushi vya DStv naona kabisa Sitatoboa kwa Location niliyoko
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii club naipenda lakini naanza kuwachukia viongozi kwa sababu naona kama wana hila na hawana mapenzi mema na timu. Kwanza kwa kumuacha Adebayo na kusingizia timu nyingine zimeonesha interest...
10 Reactions
133 Replies
8K Views
Yanga Tuna Tatizo? Siku 10 Zimekatika toka hii changamoto ya NANI ZAIDI izinduliwe,Wenzetu Wamefikisha kura Zaidi Elfu mia moja sisi Yanga tupo Forty thousands hivi mpaka sasa, na Hapo Mashabiki...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Pitso Mosimane aomba kuachia nafasi ya ukocha Mkuu wa klabu ya Al Ahly. Mosimane aliandika barua kwa bodi ya Al Ahly SC akiomba kuondoka baada ya kuwaongoza kwenye kupata mafaniko makubwa kwenye...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
MTAMBO WA MABAO NDANI YA WANYAMA MAN CITY ,KARIBU UINGEREZA ERLING HALLAND. [emoji460]️ Imeandikwa na Nasri Kulemba[emoji3578] Kuna namna ya kukubaliana juu uwezo,maamuzi na kipaji ,kisha tukapa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna roho chafu za mizimu zinatawala vilabu vya simba na Yanga. Ndio maana unaona vitabia vyao vinafanana. yani kila Mwaka vitabia vinahama hama. mara leo Bundi yupo Jangwani mara msimbazi...
1 Reactions
3 Replies
954 Views
Eng Hersi, inaonekana amekwishashinda nafasi ya urais ndani ya yanga, ni dhahiri kabisa kuwa GSM kwa sasa ni Mali ya yanga baada ya asilimia zote za umiliki wa timu hiyo kuwa GSM, Eng Hersi tangu...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakat wachezaji wa Stars wakiwa wamesharudi kwenye vilabu vyao kwa ajili ya kukamilisha ligi ya NBC, wenzetu Algeria Leo wanashuka dimbani kucheza na Iran kwenye mechi ya kirafiki, halafu tunataka...
2 Reactions
5 Replies
694 Views
Kwa kilichojiri hivi punde katika michuano ya CECAFA kwa upande wa wanawake. Twiga Stars(Tanzania Bara) wameigubika 12-0 timu ya Zanzibar. Wafungaji wakiwa; Opah Clement (magoli 4), Mwanahamisi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mambo ni mengi muda mchache ni vurugu mechi zahapa na pale, makanjanja yaliyoamua kujivika uchawa na kudhalilisha taaluma ambayo huwa inaaminika kwamba ni mhimili wa 4 yaani media, basi ni vurugu...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Kesi ya kudaiwa kumbaka Kathryn Mayorga iliyokuwa ikimkabili Cristiano Ronaldo Nchini Marekani imefutwa na Jaji Jennifer Dorsey aliyekuwa akiiendesha. Kathryn alidai nyota huyo wa Manchester...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeona taarifa kwamba makocha 100 wametuma cv ,99 ni kutoka europe na south america, mmoja tu wa Afrika na hajakidhi vigezo Hivi nyie viongozi wa simba mnadhani kwa nini walioko Afrika...
14 Reactions
51 Replies
5K Views
Back
Top Bottom