Wafujo
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 448
- 997
Kwa kilichojiri hivi punde katika michuano ya CECAFA kwa upande wa wanawake. Twiga Stars(Tanzania Bara) wameigubika 12-0 timu ya Zanzibar.
Wafungaji wakiwa;
Opah Clement (magoli 4),
Mwanahamisi Omary "Gaucho"( Magoli 3),
Janeth Pangamwene (Goli 1),
Diana Msewa (Goli 1),
Enekia Lunyamila (Goli 1),
Protas Mbunda (Goli 1),
Ester Mabunza (Goli 1).
Twiga Stars imefanikiwa kuingia nusu fainali ya michuano hiyo ikiwa inaongoza kundi lao.
NB: Kesho magazetini hicho ndo kitakua kichwa cha habari katika gazeti la michezo (Time travelling).
View attachment 2252468