Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ilikuwapo mipango na bado ipo mipango ya kuhakikisha team ipelekwe nje ya Tanzania kwa ajili ya maandalizi. Binafsi nimewaandikia viongozi wangu wa klabu wahakikishe wanaibakisha team hapa hapa...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
  • Closed
Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand...
1 Reactions
68 Replies
5K Views
Klabu yangu pendwa inatakiwa kufanya mabadiliko makubwa kama inataka kupiga hatua,hii inatokana kuwa na msimu mbovu zaidi katika misimu mitano iliyopita. Kama kutakuwa na tabia ya kuangaliana...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Kumekuwa na shutuma nyingi sana zikimuhusisha kocha huyu bora kabisa kuwahi kotokea ulimwenguni na ubaguzi dhidi ya watu weusi na karibuni alihusishwa na Yaya Toure, je lina ukweli hili ama shida...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari Wadau! Kama kichwa kinavyojieleza na Mkurugenzi wetu amemaliza, ujumbe kwa wale wanaoona tunachelewa kumaliza usajili wa wachezaji ni hivi,"HATUSAJILI KIHOLELA,TUNASAJILI KWA MPANGILIO" Uzi...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Awali napongeza uongozi kwa kuweza kukamilisha usajili wa wachezaji, japo sijajua kama usajili umekamilika au bado kuna wachezaji wengine watakaosajiliwa. Kwa uzoefu wa mpira ni kwamba usajili...
6 Reactions
4 Replies
677 Views
Yanga sc. Mayele Kambole Morrison Aziz ki Moloko Nkane Ngushi Simba sc. Phiri Sakho Banda Okrah Manzoki ( kama atasajiliwa) Kibu Kyombo
1 Reactions
6 Replies
910 Views
Simba inaitaji beki mwengine wa kati atakae saidiana na onyango na inonga kiunga mkabaji mwengine na mshamuliaji mwengine wa kati je ataachwa Nani Kati ya hawa Mugalu, Kagere, Kanoute, Lwanga Kati...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Nilipigwa na jua toka asubuhi mpaka saa nane Sarpong sababu ya kikungoja wewe,kumbe hata danadana hujui kupiga, Moringa aka Falcao, tukaambiwa alikuwa anatakiwa PSG leo yupo Namungo. GSM mna...
1 Reactions
5 Replies
708 Views
Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya...
4 Reactions
72 Replies
6K Views
Mkiambiwa balance ya mahesabu imeharibika kwa sifa za kijinga za ki aziz hamuamini, ufunguo huo peke yake umesababisha hata kambi inaenda kukwekwa karatu siyo uturuki tena Kwa msiojua ni kwamba...
1 Reactions
7 Replies
775 Views
Amekopi na kupest toka kwenye wimbo wa DJ Khaleed, yeye alichofanya aka-edit na kuweka nembo ya Yanga...haya Kazi kwenu utopolo...
10 Reactions
89 Replies
6K Views
Na nyinyi wachezaji wa kibongo tokeni mkacheze njee mpate mihela ya kutunza family zenu lawama atutaki
0 Reactions
3 Replies
649 Views
Viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo. Watani wetu ndo wamepaa Leo, mkileta mzaha mafanikio...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la dar es salaam young African na makombe yaendelee. Ikiwa imepita siku moja toka AZAM FC wamtambulishe goli kipa wao mpya kutoka Morocco anayejulikana kama Ali Ahmad hali ni...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike. Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya 🌎 🤪🤪 Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Akiwa Sudane Game 26 Goal 17 Assist 11 MOV 11 MVP
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo baada ya kuelezwa kuwa kocha wa timu hiyo, Thomas Tuchel kumwambia mmiliki wa klabu, Todd Boehly hamuhitaji Mreno huyo. Inadaiwa Chelsea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamaa ni mmoja ya wachezaji waliokwea pipa leo kwenda Misri na kikosi cha Simba kwa ajili ya maandalizi ya Msimu ujao (Pre Season). Wale wote mliokuwa mnasema jamaa atatemwa, itoshe kusema tu...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…