Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimeona Watanzania wakichangamka kumpigia kura mchezaji wa Simba SC kwenye moja ya tuzo katika kipengele cha Goli bora la mwaka. Kiukweli hilo jambo la kuacha watu wapigie kura mshindi limewekwa...
4 Reactions
84 Replies
7K Views
Ukizungumzia magoli ya CAF CC Aziz Ki ana magoli mengi kuliko SAKHO na yumo kwenye orodha ya wafungaji bora amefunga 3 sawa na nusu ya magoli 6 aliiyonayo Adebayor mfungaji bora. Mfungaji bora...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Tangu Simba haguswi, sikupenda kabisa simba tuwe na msemaji kama huyu anayezungumzia wapinzani kila saa na vijembe kwani inaleta taharuki kwa mashabiki wakati yeye anahurumiwa kutokana na maumbile...
6 Reactions
6 Replies
604 Views
Habari kuwa Manara anafungiwa zilikwishajulikana mtaani na hata mwenyewe alijua, swali alijuaje, nani anavujisha siri za TFF, secretariat iliangalie hili, hao wachezaji wa zamani walioajiriwa hapo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Miezi 24 siyo mingi sana kama ukiwa Unakunywa sana Bia au Unavuta Bangi au Unabwia mno Ugolo wa Mwarabu Buguruni Malapa na Ilala Bungoni au pale katika Balcony Ghorofani Masaki jirani na Slip Way.
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Kupitia mitandao yao ya kijamii timu kubwa Afrika Simba sc umewataka mashabiki wake kujiandaa na tukio kubwa ni lipi hili saa saba kamili mchana.
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Leo ndio leo, tuzo za CAF zinatolewa, wazee tupeane updates. Mzigo utakuwa live kwenye channel ya CAF ya YouTube Kocha bora wa mwaka(wanaume) Aliou cisse 🇸🇳 Timu bora ya taifa ya wanaume ni...
9 Reactions
33 Replies
4K Views
Masaa, siku na miezi Inakatika. Timu zinasajili na kuwaacha nguli wa soka wasio na mpango nao. Miamba ya soka Ulaya wakibalamsisha kila kona. Wenzetu tunawashuhudia wakikosa timu kutokana na...
1 Reactions
1 Replies
479 Views
Nianze kwa kusema SAKHOOOOOO Best goal of the year... Lakini kila nikitazama video clip ya goal la sakho, namtazama pia Shomari kapombe, namna alivyofinya ball, akatulia na kumchagua SAKHO...
3 Reactions
2 Replies
657 Views
Hongera Sakho,hongera Simba Sc,hongera wachezaji wa Simba,hongera head coach na hongera Simba funs na Tanzania kwa ujumla. Kufikia hapa tunazidi ku pave way to the success,mpira wa Watanzania...
4 Reactions
1 Replies
596 Views
Ni wakati sasa uongozi mturudishie msemaji wetu hakuna namna Pole sana Haji lakini adhabu ni kubwa mno faini ni kubwa mno, siijui imewekwa kwa kukomoa au la Historia inaweka wazi kuwa walifungiwa...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Upo mkakati wa kuhakikisha Cloutus Chota Chama anapewa kiasi chake cha pesa anachoidai Simba kutokana na Kuvunja mkataba wake na Berkane. Ikumbukwe kuwa Simba SC walimpanga Chama kutumia pesa...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Nyota wa Simba, Pape Osmane Sakho anainyemelea tuzo ya goli bora la mwaka Afrika baada ya bao lake alilofunga dhidi ya Asec Mimosas katika Kombe la Shirikisho Afrika, Februari 13 mwaka huu katika...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii hukumu aliyopewa Leo Manara ni trela tu, ngoma yenyewe ya kuitukana na kuidhalilisha Simba bado hukumu yake haijasomwa. Hii unayopambana nayo na kutetewa na wajinga wajinga ni ya kumtukana...
3 Reactions
3 Replies
873 Views
Leo asubuhi nimepata nafasi ya kuwa pamoja na mmoja wa kuongozi wenu. Yaani ni miongoni mwa wanakamati wa ile Bodi yenu. Nilikuwa napiga nae stori mbili tatu viwanja fulani hivi hapa jijini Dar...
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Anaitwa Jean Morel poe ni mu ivory coast ana miaka 25 aliwahi kucheza soka la kulipwa belarus, kwa sasa anafanya kazi za u dereva teksi katika jiji la ismailia na jana alikuwa mojawapo ya madereva...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Naona hadi umewaahidi Watu kadhaa Lunch Offer baadae Mchana hapo Posta. MImi Rafiki yako Mkubwa na Mdau wako wa Habari na Mawasiliano naomba kujua hii Furaha yako imetokana na nini?. Hebu shea...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Nilimaanisha karia hana uwezo wa kuendesha soka Jamaa amekaa kihasira. Si kwa Haji tu, ila ana uwezo mdogo sana wa kuendesh soka, huyu aonde tu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Alikuwa na mpango wa kupewa adhabu ya kusimamishwa ili aache kuwasemea utopolo. Lakini pia, kama ni faini watamlipia. Kwa sasa nina uhakika utopolo ni jalala vichaa wote wanataka kuhamia...
2 Reactions
3 Replies
690 Views
Yaani nyie mnaumiza vichwa na adhabu za TFF? 1: Bumbuli alifungiwa miaka mitatu 2: Mwakalebela miaka 5 3: Kocha wa Mbeya Kwanza na meneja walifungiwa maisha lakini saivi wapo free Manara je ???
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…