Sakho ni chachu ya kuibua vipaji vya vijana wengi nchini na iwe motivation kwa TFF

sammosses

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,682
1,110
Hongera Sakho,hongera Simba Sc,hongera wachezaji wa Simba,hongera head coach na hongera Simba funs na Tanzania kwa ujumla.

Kufikia hapa tunazidi ku pave way to the success,mpira wa Watanzania umeanza kuonekana duniani,ligi ya Tanzania sasa rasmi itajaa scout kwa ajili ya kusaka vipaji.

Yapo mengi yatasemwa,yamesemwa na yanasemwa lakini mafanikio haya yawe chachu ya changamoto katika ukuzaji soka nchini Tanzania.

Pamoja na Sakho kuwa Msenegar lakini heshima kubwa kwa Tanzania,kwa ligi yake lakini heshima kubwa sana kwa uongozi wacSimba ulioibua kipaji Cha kijana huyu kwa kumuamini kuiwakilisha Simba katika mashindano makubwa ya CAF.

Vijana wakiaminiwa wanaweza, kikubwa wapewe nafasi stahiki kuonyesha uwezo wao.

Sakho ni chachu ya kuibua vipaji vya vijana wengi nchini na iwe motivation kwa TFF kutazama upya na kusimamia ipasavyo sera ya mashindano ya vijana.

Bahati mbaya sana aliyeitangaza ligi yetu kimataifa si mtanzania, hapa lipo somo kubwa sana la kujifunza.

Mwisho waandishi na wachambuzi wetu wa soka tuitumie nafasi hii ku brand vijana wetu kuliko kuwaponda na kuwakatisha tamaa,kufikia mafanikio ya Senegal kung'aa ni uwekezaji na usimamizi mzuri wa soka katika taifa Hilo.

Safari sasa ndo umeanza,tuamke tuache mizengwe ndani ya TFF,tutafika mbali sana.
 
Hongera sakho
 
Back
Top Bottom