Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wanariadha wapatao 9, Wanamichezo wengine na Viongozi wao wameondoka kwenda nchini Uingereza kushiriki Mbio za uwanjani na mbio Ndefu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika...
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Vilabu 20 bora zaidi Afrika; 1. Al Ahly 2. Raja Casablanca 3. CR Belouizdad 4. Wydad Casablanca 5. Pyramids FC 6. Atletico Petro De Luanda 7. Zamalek 8. Mamelodi Sundowns 9. JS Kabylie...
4 Reactions
24 Replies
24K Views
Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za...
7 Reactions
103 Replies
12K Views
Jana zimetoka wauzaji wa jumla wote kariakoo wamemaliza zimebaki Kwa wauzaji wa rejareja ambapo huwezi pata chini ya 40 tu 45 wanauza 35 nao washamaliza kazi ipo Kwa ushauri tu kama unataka jezi...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
mwanzoni mwa mwezi wa saba chelsea walionesha nia ya kumsajili baadae kocha akatangaza hawana mpango na ronaldo , bayern munich nao wakatangaza hawana ela za kumlipa ela ronaldo japo tayari ana...
1 Reactions
2 Replies
608 Views
#Kutoka_mwanasport Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Klabu ya Azam FC leo Julai 29, 2022 imezindua rasmi Jezi mpya kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano wa 2022/2023. Nyeupe (Home Kit) Blue (Away Kit) Nyeusi (Third Kit)
8 Reactions
39 Replies
6K Views
Msaada jamani kwa wanaojua historia ya mwanamasumbwi LUCAS MSOMBA maana naskia amewahi kuchukua medali Urusi.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkimbiaji wa marathon kwa wanawake Jackline Sakilu jana alifanya kilichofanyika na mwanariadha Mtanzania mwingine John Stephen Akhwari katika mashindano ya marathon katika Michezo ya Olimpiki...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rasmi, ramani mpya ya jiji la Dar es Salaam imezinduliwa Jana, kwa watu wa mikoani mnaosafiri kuja Dar msihangaike, fika town, pitiliza jangwani pale chukua jezi yako ya yanga then vaa anza kufata...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Kocha Zoran ameendelea kugawa dozi kwa wachezaji, huku akimkomalia Bocco, akimtaka kuchagua moja kati ya kucheza mpira na kubakishwa kambini au awafuate kina Meddie Kagere, Chris Mugalu na Taddeo...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
😂 utopolo bhana Kumbe jezi zao mpya waliiga kutoka sehemu fulani ila wao kwazidisha madoido matokeo yake kututia aibu tu .. ama kweli nyuma mwiko mbele mwiko 💚💛
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Watu wa Soka, Jioni ya leo tulicheza mechi ya kirafiki na klabu ya Arusha City FC ya hapa hapa jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya mazoezi yetu katika kipindi hiki ambacho bado tupo kambini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tetesi zinasema mastraika wa kigeni wawili, Maddie Kagere na Chris Mugalu, pia kiungo Thadeo Lwanga hawajam-impress kocha zoran na kutanabaisha kabisa kuwa hawako kwenye mipango yake msimu huu na...
2 Reactions
75 Replies
6K Views
Hakuna mtanzania asiye shabiki wa simba/yanga kama hawapo ni wachache sana, hata hao wachambuzi wa michongo wa nchi hii wote wamegawanyika katika teams hizi mbili Kwa mfano kitenge ni Yanga...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari. 2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza...
22 Reactions
88 Replies
8K Views
Ronaldo aichezea Man United, aondoka uwanjani baada ya kufanyiwa 'sub' Cristiano Ronaldo ameichezea Manchester United mechi ya kwanza baada ya kukosekana kwa zaidi ya mwezi mmoja, pamoja na hivyo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii habari ya Senzo kuachana na Utopolo ni kama hajaiona hivi, angekua ni Gonzalez katimka Simba, angepost kuanzia asubuhi hadi kesho. Chambuzi la michongo pale mawingu fm. Mbabani July 31,2022...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwenye mchezo wa golfu Kuna fundi mmoja alitawala mchezo huo Kwa kipindi kirefu sana alimarafu kama Tiger woods wazungu wanaita GOAT greatest of all time . kweny mchezo wa tennis Kuna fundi mmoja...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Na ninavyowajua hao mliowafunga hizo Goli 9 kwa 0 leo ni kwamba 95% ya Wachezaji wao ni Wabwia Unga, Bangi na Mateja na nimeshangaa kuona mmewafunga Goli hizo 9. Tarehe 13 August,2023 mtatukoma!!!!
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom