Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Moyo wangu umejaa huzuni na sononeko la hali ya juu baaada ya kuona watani zangu wanakosa mtu sahihi wa kukamilisha madili kwa manufaa ya klabu. Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights"...
15 Reactions
89 Replies
6K Views
Watu wa Soka, Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC. Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY"...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
CRDB ni official Simba Day partner "CRDB wameona ni muhimu kuwekeza kwenye michezo na wamechagua Simba sababu wanaona ukubwa wa Simba." "Tunawashukuru CRBD kuwekeza kwenye Simba Day, najua huu...
12 Reactions
41 Replies
3K Views
Kama Simba na Yanga usajili na maandakizi ya kuanza ligi yanaenda sawa basi hakuna tatizo mafuta yapande saba bei, Bando zipande hakuna shida. Kikubwa yanga na Simba mmabo yako sawa hayo mengine...
3 Reactions
6 Replies
636 Views
Muundo wa CAF super league huu hapa wajameni, Southern and Eastern Africa zinaingiza timu 8 na kila nchi isitoe zaidi ya 3 ila inategemea klabu ina ubora gani kwenye rankings za CAF siyo kwa...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amemjia juu Cristiano Ronaldo kwa kitendo cha kuondoka uwanjani wakati mchezo dhidi ya Rayo Vallecano ikiendelea, Jumapili iliyopita Julai 31, 2022...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Inashangaza sana hadi sasa upande ule hawajaona potential ya mropokaji, weka mzigo wa uhakika mezani mpe kazi hiyo ya kuwashambulia M - Bet. Yule haogopi Rais wa TFF wala waziri wa serikali...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama title inavyoonekana, Manara amesitishiwa na klabu yake mamlaka ya kuongea na vyombo vya habari akiwa mbele ya nembo za klabu na wadhamini wake. Hii ni dalili tosha kwamba Yanga imetii amri...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Watanzania tukae mkao wa kula. Jana usiku mkombozi wa Afrika Mashariki, AZAM TV, ilitangaza kuanza mazungumzo kwa ajili ya kuonyesha EPL na LA LIGA moja kwa moja kuja majumbani kwetu yani live...
1 Reactions
49 Replies
15K Views
Kihistoria tumewapiga mabao hawezi kurudisha hadi leo. Kimataifa tumewapita karibia zaidi ya timu 80 wako nyuma yetu. Hawana uwanja ila Simba wana Mo Arena. Mikataba ikisainiwa mtasema tunafoji...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Binafsi niliacha kufuatilia ngumi baada ya checka na Rashid matumla kustaafu, lakini ni hivi karibuni naanza kufuatilia mchezo wa boxing kutokana na Tambo za mandonga. Kuna vitu kidoogo...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo? Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
Ayo si maneno yangu ila yao ni maneno ya FARID KUBANDA maarufu kama FID Q kwenye nyimbo yake ya BONGO HIP HOP. kwa haraka haraka ayo maneno unaweza ukayachukulia kawaida tu ila aya maneno...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Shangwe kubwa linamsubiri nabii huyu wa logo ya utopolo fc, wakati kelele zinapigwa kwamba nembo ibadilishwe mcheza netball, mwenge na bondia watolewe kelele hizo zilipuuzwa kumbe Mungu alikuwa na...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
https://pmbet.co.tz/en/auth/signup/A360 haya wazee waku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ujue ile billions 12 ya sportspesa imejumuisha kama watachukua ubingwa wa Afrika lakini hilo halisemwi ,wewe unaweza kuogopa ila wajuba wa jangwani/ salamander mwaka huu wamesema wanatoboa hadi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama kampuni za Sportpesa, m-bet, Azam media, NBC na TBC zimetoa billion zile zote kwaajili ya kutangazwa na Simba na Yanga kwenye jezi zao je, mo na GSM kuweka matangazo yenu kwenye jezi za Simba...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Inasemekana baada ya pambano hakurudi hata hotelini; ameondoka usiku mnene bila kuaga. Anasema uchawi umehusika alikuwa anaona mishale tu badala ya ngumi ndiyo maana kapigwa. Anaamini yeye bado...
16 Reactions
37 Replies
4K Views
Ilikuwa ni lazima isubiriwe ya Mabingwa watetezi wataje yao ili walete formula yao. Nani hakuona hili? Cha ajabu imekuja formula ambayo haijawahi tokea duniani kote. Yaani sponsorship deal...
3 Reactions
56 Replies
4K Views
Back
Top Bottom