Wachezaji wanatambulishwa.
Kagere ,Wawa na wachezaji wengi tu wakubwa kibao
Uwanja umejaa ,naona wanapitia hatua zile zile za wapinzani wa jadi.
Kwa hizi bwembwe na wachezaji hadi Brazil Azam...
Akiongea na Sport Arena msemaji wa Singida Big Stars kathibitisha hilo.
Wakuu mnamwonaje Kagere ndani ya Singida , ataleta usumbufu kwenye mfungaji bora?
Sasa ni rasmi Hassan Bumbuli out,pole sana ulijitahidi kukomaa ila waoi bwana
Jana kapigiwa simu na GSM kuwa aanze kukusanya virago tayari kukabidhi ofisi kwa Taji Liundi
Taji Liundi ni mbobezi...
Ma viwanja mengi yako hivyo,pitch ina afadhali,vyumba vimekarabatiwa sehemu ya kukimbilia ni pachafu vumbi kabisa
Si waweke moramu zile chengachenga zilizisagwa au wamwagie mchanga
Wakuu moja kwa moja kwenye mada'
Kwa namna ambavyo timu zinazoshiriki league ya NBC msimu ujao wa 2022/2023 zimefanya maandalizi ya usajili ya watu wa kazi, naiona league yetu inaenda kuongeza...
Watu wa Soka,
Nawaletea taarifa kuhusu Singida πππ πππ tarehe 4/8/2022 katika Uwanja wa Liti (zamani Namfua).
Tumeamua tuwe na siku yetu maalum kama walivyofanya wenzetu Simba na Yanga...
Kweli bongo tamu,machozi yamemtoka akipewa mkono wa kwa heri na Simba ila amesema haondoki bongo atapambana apate timu hata kama ni championship league
Watu wa Soka,
Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC.
Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY"...
Hakuna ubishi kuwa club ya Simba ndiyo club yenye heshima kubwa kimataifa iliyopo hapa nchini.
Kuna jambo halipo sawa katika club yetu, mwaka jana na mwaka huu kuna mambo mawili yametokea ambayo...
Chelsea imeanza mchakato wa kutaka kuwasajili mastaa wa Barcelona, Frenkie de Jong na Pierre-Emerick Aubameyang aliyewahi kufanya kazi Kocha Thomas Tuchel katika kikosi cha Borrusia Dortmund...
Asee Hawa jamaa sjui vp Jana nimewala kias tajwa hapo juu had sasa mpunga haujaingia app yao haifunguki lakn matangazo wanatuma kupitia simu kuwa tucheze
Namba zao zote wamezofunga kwangu...
Mimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu?
Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu...
Hivi kweli kabisa Logically hizi Klabu zetu pendwa nchini za Simba SC na Yanga SC kwa Uswahili uliozitawala na Ujanja Ujanja ( Usamjo Usamjo ) ni za Kudhaminiwa Bilioni 26.1 na Mbet kwa Miaka...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia
Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel...
Ni siku ya mwananchi ni Yanga SC vs Viperz ya Uganda, ambapo Viperz kuna wachezaji wa 2 ambao simba imewanyakua yaani Manzoki na Bobosi.
Yanga hawaku changa karata zao vizuri ktk hili, ni wazi...
Wekundu wa Msimbazi Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, katika kuendelea kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa na Simba Day, leo Agosti 1, 2022 amejitupa uwanjani kucheza na Al...