Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baada ya mechi ya ligi msimu uliopita ya Simba na yanga iliyofanyika uwanja wa taifa na CEO wa Simba kuzuiwa kuingia uwanjani, viongozi wa Simba, wanachama na mashabiki walikuja juu na kuamua...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Mnaojiuliza na Kuumizwa kama Mimi ni kwanini Simba SC ni sawa na Mke Mkongwe wa Mume Shababi Yanga SC ( nikimaanisha anafungwa muda wowote ule ) majibu ni haya yafuatayo..... 1. Mjumbe Mulamu...
11 Reactions
40 Replies
5K Views
Ikiwa ligi kuu bara alimaarufu NBC ikiwa imeanza jana tarehe 15 Agosti 2022. Hii ndio top 4 yangu kwa msimu wa 2022/2023. 1. Yanga SC 2. Simba SC 3. Singida BS FC 4. Azam FC Tupia na yako...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Ninawapongeza watani kwa ushindi. Lakini ushindi wenu umejaa sintofahamu sana. Maana usajili wenu hauendani na aina ya mpira mnaocheza. Yaani butua butua zimekuwa nyingi mno. Mmekosa kabisa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ahlanbik kutoka Lombardia ndani ya jiji la Bergamo kaskazini mwa nchi ya Italy: Jana nlifanikiwa kuitazama mechi ya miamba ya soka nchini Tanzania ,Simba dhidi ya timu ya Geita Gold nikiwa hapa...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Huyu bwana ni striker wa ukweli ila sasa majeruhi imekuwa donda ndugu kwake.. Kama asipojilinda na kucheza kama staa akawa anaendelea kukomaa kama anavyofanya sasa, kila siku mabeki watamkamia na...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Watu wa Soka, Tumejiandaa vya kutosha kuanza mchezo wetu wa kwanza wa Ligi Kuu kesho dhidi ya Tanzania Prisons. Mashabiki wetu tunawakumbusha kukata tiketi mapema kupitia N-CARD kisha mjitokeze...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Nasikia muda wowote Mzungu 'Mserbia' anasainishwa na Kutangazwa badala ya Mchezaji ambaye wana Simba SC wote tunamtama, anajua Kufunga na tumemsubiria muda mrefu Ceaser Lobi Manzoki. Naandaa sasa...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo. Nilitegemea...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Mzabuni wa jezi za klabu ya Simba Fred Ngajiro 'Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua kuwa amepata hasara ya Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni). Hasara hiyo imetokana na kubadilisha mfumo wa...
9 Reactions
45 Replies
5K Views
Ukweli ni kuwa mkubwa hakosei. Rais wa TFF ni mtu mkubwa sana kwenye mpira wetu Tanzania. Ndiye kioo Cha mpira wetu kwasasa, yaani kama ni ukatoliki yeye ndiye wa kanisa nchini na kama ni uislamu...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Sikumbuki mara ya mwisho Simba kukaa kileleni ilikuwa lini lakini hatimae leo kaongoza ligi. Nadhani Matola atalala usingizi maana tayari alishaanza kudondoshewa jumba bovu. Hongereni watani...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Agosti 17, 2022, ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, anakiwasha na Geita Gold kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam...
19 Reactions
381 Replies
23K Views
Ahlanbik: Kongole kwa kocha zoran maki kwa kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu ya NBC hapo nchini Tanzania dhidi ya Geita Gold. Pia pongezi nyingi kwake kwa kumtoa nje kabla ya kipindi...
19 Reactions
21 Replies
3K Views
Yalikuwa ni maamuzi ya wazimu kabisa. Tazama ndani ya muda mfupi tu Spars ilivyobadilika, Naamini kabisa kwa Man Utd mwaka huu Conte angeli challenge Title na Man City.
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Tuna muda mchache sana kuelekea Mashindano ya CAF lazima macho yenu na akili zenu zifanye kazi chap chap hatuwezi fika popote katika mashindano ya CAF kama striker ni huyu Dejan Simba haitajin...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Watazifunga magori mengi timu zote (ukiondoa) Yanga. Watasifiwa sana (kama vile watu hawajui trend yao wanapocheza nyumbani). Lakini sidhani kama watapata matokeo mazuri (consistently) kwenye...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Haruyuki Takahashi ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Michezo ya Olimpiki ya Tokyo nchini Japan pamoja na watu wengine watatu wamekamatwa leo kwa tuhuma za kuchukua #Rushwa Tsh. Milioni 886.1. Waendesha...
0 Reactions
4 Replies
901 Views
Rejea uzi wa jana usiku hapa kuhusu kupendelewa mnyama na yanga kufanyiwa hujuma za wazi na uonevu, Sasa mliokua mnapinga nadhani mmeona yaliyotokea mchezo wa leo dhidi ya polisi.na kile ndio...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
1. Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston MINOCYCLINE Mayele amemuadabisha baada ya Kuifunga Simba SC goli zake Mbili na akipitia Kwake Beki Inonga? 2. Wana Simba SC tuliomchana live hasa katika...
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…