Kwanza niweke rekodi sawa. Tanzania hakuna Wapenzi wengi wa Mpira wa Miguu kama wanavyoamini wengi wetu, bali kuna Mashabiki wengi wa Simba na wa Yanga.
Kwa isivyo bahati mashabiki wetu hawa...
Ikiwa Al Hilal atafanikiwa kumtowa St-George, Al hHilal watakutana na Yanga kwa next step.
Na mechi hiyo itakuwa hatari na yenye kuvutia zaidi ila naamini Yanga watawafunga Al Hilal ndani na nje...
Yeyote anaye jua uchawi naomba tukutane turoge hawa al hilal wafe goli nyingi apa kwa mkapa bila ivo kitatukuta kilicho wakuta wenzetu st- George kule kwao
Toka ni zaliwe sijawahi kuona timu...
Klabu ya Barcelona inadaiwa kuwa ipo kwenye mipango ya kufanya mazungumzo ya usajili wa kiungo wa Chelsea, Jorginho kwa ajili ya kumsajili katika dirisha la Januari, 2023.
Kocha wa Barcelona...
Naona stephane Aziz ki taratibu anaanza kuirudisha confidence yake na anaanza kuelewana na wenzake, anapofunga goli inazidi kumjengea hali ya kujiamini na utulivu.
Kitu kinachomsumbua kwa sasa ni...
Kwa haya maneno nimemwelewa mno Coach wetu Nabi. Nimemwelewa kwa lugha nyingine anachomaanisha. Hawa jamaa hata pesa ya kula ilikuwa changamoto. Ilibidi sisi Yanga tuwasaidie. Hili ndo gari...
Kocha unatutafuta uchawi, Kocha tafuta sababu za Msingi, Kocha acha visingizio hafifu kwani timu yako ni dhaifu tu haikuwa na uwezo wa kushindana na Simba hata mngekuja na chakula chenu.
Bondia Hassan Mwakinyo amefungiwa kucheza nchini Uingereza, ikiwa ni siku kadhaa tangu alipozichapa na Liam Smith nchini humo na kupigwa kwa TKO, raundi ya nne.
Kwa mujibu wa Mtandao wa ngumi za...
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa Twisila Kisinda kuichezea Yanga baada ya klabu hiyo kumuhamisha mchezaji wake wa kigeni...
Mungu ni mkubwa sana, baada ya figisu ya kumfungia miaka 2 msemaji aliyeipa ubingwa Yanga baada ya kuukosa kwa miaka 4 ndugu Manara , figisu ziliendelea sana
Tukaona wachezaji wa Yanga wakitaka...
FULL TIME: Yanga imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 4-0, timu hizo zitarudiana wikiendi ijayo
Mayelee anafunga bao la nne na la tatu kwake
88' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Mayeleeeeeee...
Bondia Canelo Alvarez amefanikiwa kumpiga Gennady Golovkin katika pambano la uzito wa kati (Super-middleweight) lililofanyika Las Vegas, Marekani, asubuhi ya leo Septemba 18, 2022.
Ameshinda kwa...
Mchezo wa pili baina ya Yanga dhidi ya Zalan kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Jumamosi Septemba 17, 2022, ni Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mchezo wa kwanza Yanga...
Habari wakuu je nafanyaje ili niweze kuangalia match live kwenye tv kwa kutumia internet ingawa tv yng sio smart tv ila hapa nilipo naangalizia kwenye simu tu mpira kwa kutumia app ya yacine tv...
Upo Uwezekano leo Predator (hata Henock Inonga ) anamjua Fiston GENTAMYCINE Kalala Mayele leo akafunga kati ya Goli 3 au 6 na wakizubaa hata 9 peke yake dhidi ya Zalan FC Jioni katika Mechi yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.