Baada ya mwanamama Barbra CEO wa Simba Sc kuteuliwa CAF kumekuwa na kejeli za kila aina kutoka Yanga. Kejeli hizi zinafanya nje na ndani ya JF. Kuhusu uwezo wake hakuna shaka, hata wanaokejeli...
Feisal Salum Mchezaji wa Yanga leo nimegundua kumbe alikuwa anacheza kwenye Ligi ya Nchi ya Zanzibar ambayo pia ni mwanachama wa CAF. Kwa mujibu wa Kanuni za CAF mchezaji anapotoka Ligi ya nchi...
Beki wa Simba Sc Inonga Baka ameanza kwenye cha Congo kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Burkina Faso. Hii imenistua kidogo,maana kosi la Congo limeesheheni nyota
Aliyekuwa meneja wa Chelsea Thomas Tuchel anakabiliwa na balaa jipya wakati akisubiri uamuzi wa muda gani atabaki Uingereza baada ya kutimuliwa kazini.
Tuchel raia wa Ujerumani, anaweza kufukuzwa...
Shirikisho la Soka (FAZ) limechukua hatua hiyo kufuatia shutuma zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa baadhi ya wachezaji walichaguliwa kucheza Timu ya Taifa baada ya kulazimishwa kushiriki vitendo...
Caf champions league hatua ya awali inatarajiwa kuanza mwezi nane, ni wakati muafaka sasa kwa mabingwa wa Nbc premier league yanga sc kuhipanga kisawa sawa isije kutokea ya msimu uliopita...
Salaaam Wana JF
Kutoka kwa kiongozi mmoja m,bobezi wa soka mwakalebela akiojiwa na media fulani amekiri kuwa Kama Simba ( kolo) ingecheza na Zalan Basi wangeambulia kichapo heavyweight
Sababu...
Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0
Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
3ANAANDIKA Mchao Tv
KWA MFANO TU
Mechi ya Azam dhidi ya Yanga ilipigwa Septemba 6, 2022 (zaidi ya wiki mbili zilizopita, ni siku 16 zilizopita) ambapo mchezaji wa Yanga Bernard Morrison alifanya...
Habari za muda huu wadau.
Leo nimekuja na swali dogo tu nani anaendesha account za mitandao ya kijamii ya caf? Ni nafasi ya kuomba ama ni nafasi ya teuzi?
Ni hilo tu wakubwa
Ni ushauri tu.
Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha...
Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana
Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda...
Huu uonevu hadi lini jamani? wanayanga wanahoji huko mtandaoni haswa facebook... wanadai mechi ya ihefu iliahirishwa kimkakati ili Bm 3 aikose simba
Kwani ratiba ya international games...
.... Kinachofurahisha kwa sasa ni kuona baadhi ya mashabiki Tanzania WAKIISIFU SANA klabu ya Al Hilal [emoji1232] na kuwa na uhakika kuwa klabu hiyo ya Sudan itaitoa Yanga klabu bingwa Africa...
Mpeni nafasi tena namba 8 na namba 6 katika mechi zote mbili vs kipanga na malindi
Hatutarajii mambo ya ya yayayayayayaya trab na trat
Mpeni nafasi tumuone kama hafai tujue moja
Ninaona wana Simba wengi wakitamani hawa jamaa watolewe kwenye michuano hii mikubwa mapema.
Mimi nawaomba wapenzi wenzangu wa mnyama tumuombee mtani asonge mbele ili ubora wake authibitishe...
Mkurugenzi Mtendaji wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametangazwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Vilabu vya CAF na Usimamizi wa Mfumo wa Leseni za Klabu
Rais wa Shirikisho la...
Watu wametuma maombi wengi kwelikweli lakini ni lazima THE GENIUS HAJJ MANARA msomi mwenye degree mbili moja ya media toka south africa na moja ya political science toka china aridhike na...
Shirikisho la soka Barani Ulaya limeshikilia msimamo wake wa kutoiruhusu nchi ya Urusi kushiriki michuano ya kufuzu UERO mwaka 2024.
Huu ni mwendelezo wa vikwazo kwa nchi hiyo kufuatia kufanya...