Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Viongozi wa Yanga inabidi waelewe tatizo la Yanga si wachezaji, tatizo letu ni benchi la ufundi. Shida kubwa ninayoiona Yanga ni miundo ya timu (structures). Tunapounda mashambulizi muundo...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Simba walipoona wamepigwa walitumia mbinu za kivita kumpa 'frustrations' yule Dejan mpaka yeye mwenyewe akasepa bila kuiingiza timu gharama. Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali...
13 Reactions
39 Replies
3K Views
Utasikia wacheza draft Mtandaoni wanaambiana sijui tucheze oj, oj inachezwaje? Na kwanini wasicheze Copy ya samba au pandu? Bali oj
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Ni wakati wa huyu jamaa kujifikiria zaidi ama andoke United au astaafu, maana hayupo kwenye mipango ya Ten Hag. Kila wakati ni mtu wa kuondoka uwanjani na kwa bahati mbaya timu imeaanza kufanya...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Usajili bora kabisa, lakini naona hawakuwa sawa kumpa timu Xavi, ile ilikuwa ni sawa na kubeti. Xavi ilibidi apate muda kuanzia timu za chini kwenye ligi shindani taratibu kama anavyofanya Gerard...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Lazima tuseme ukweli bila kuona haya wala kuwa na hofu Profesa Nabi hatufai tena kutuongoza Yafaa atumbuliwe mapema kadri iwezekanavyo
5 Reactions
61 Replies
4K Views
Mashindano ya kimataifa ndiyo imeanza, tafuteni scout wa kuwatafutia wachezaji wazuri zaidi watakaowasaidia hapo Yanga katika mashindano ya kimataifa. Huu ujinga wa kuleta mchezaji toka Uingereza...
10 Reactions
62 Replies
3K Views
Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Mmesajili wachezaji wazuri sana pengine kwa gharama kubwa, lakini ni ukweli mtupu kuwa Kocha Van ameshazeeka na uwezo wake hauwezi kuvuka pale. Ushauri wa bure kabisa, hebu mpeni Mwinyi Zahera...
0 Reactions
6 Replies
815 Views
Binafsi naona msemaji aliyekuwa smart alikuwa Ezekiel Kamwaga. Huyu alikuwa professional hasa. Anajielewa na anaelewa Taaluma yake na hadhi ya Club aliyokuwa anaisemea.. Ahmed Ally nlitegemea...
16 Reactions
62 Replies
5K Views
Dah! Hongereni kwa kufika makundi, imepatikana nafasi ya kujipanga na kukaa sawa ila ndugu zangu kweli mmeridhika kwamba nafasi ya kiungo mkabaji iko sawa kabisa? Putin Kanoute anajitahidi ila...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Mfano; Mashabiki: Feisal acheze namba kumi, kamweka namba kumi. Mashabiki: Bangala acheze namba sita mbele ya mabeki wanne, kafanya hivyohivyo. Mashabiki: Kibwana anachezaje namba tatu na...
17 Reactions
42 Replies
4K Views
Naona yuko Kipenga Xtra, hivi huyu mzee si bado ni kama Technical Director na Kocha wa vijana hapo Utopoloni? Ni mengi aliyoongea jana ni ukweli, lakini pia yanaweza kuwa na uharibifu kwa...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Kiungo huyo wa Chelsea na Ufaransa amefanyiwa upasuaji kutoka na majeraha ya nyama za paja ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa muda wa miezi minne. Kante, 31, alipata majeraha hayo wakati katika...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam ndugu Wana JF WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa...
20 Reactions
138 Replies
8K Views
Wanasarakasi kutoka Tanzania, Fadhili Ramadhani na Ibrahim Hamisi waliiwakilisha Tanzania katika jukwaa la kusaka vipaji, Australia's Got Talent. Wawili hao ambao wanajiita "Ramadhan Brothers"...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Moja kati ya washambuliaji wasio na mbwembwe wala maneno mengi. Muonekano wa upole lakini killer haswa. Anageuka haraka, anakimbia na mpira, anatoa pasi, anakaa kwenye nafasi na anajua kuzipasia...
26 Reactions
72 Replies
11K Views
Ebana kama mnavyojua timu yetu ya wanawake chini ya miaka 17 Serengeti Girls imefika robo fainali Kombe la Dunia baada ya kuwachapa vigogo wa soka Ufaransa na Canada. Lakini Watanzania...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo. Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi. Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Kabla ya mechi ya Yanga na Al Hilal niliandika kuwa, kuna uwezekano mkubwa wa Al Hilal wasicheze mpira wa kushambulia zaidi. Watacheza mpira wa kulinda zaidi kwa hiyo basi watakuwa wengi nyuma na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…