Mechi iko live dakika ya 15 na bado milango yote ni migumu.
Twende kazi.
Dk 53’ Opa Clement anaipatia Simba Queens bao la kwanza
Dk 79’ Olaiya Barakat anaipatia Simba Queens bao la 2 kwa...
Mnamo 18/10/2022 UNICEF Tanzania iliingia mkataba na Yanga SC wenye lengo la kuunga mkono jitihada za Serikali kupambana na magonjwa ya COVID 19 na Ebola.
Mkataba huo ulianza kutekelezwa siku 5...
Nyuma ya Mwarabu wa yanga anasimamia pesa za wanasiasa
Watanzania maskini wanakosa huduma, wanasiasa wanachota pesa kwenda kutakatisha kwenye timu ya yanga ili kupitisha ajenda zao za kisiasa...
Hatimae Yanga imefanya kweli, imekubali kutoka sare kwenye Uwanja wa Mkapa na Klabu African ya Tunisia na kusababisha furaha na shangwe kubwa kwa wananchi, na kupelekea mgao wa maji na umeme...
1. Nabi ndiyo mechi yake ya mwisho kuifundisha Yanga kesho.
2. Yanga haina uwezo wa kuifunga Tunisia bao 2 - 0, au 3 - 0, wakishinda sana sana bao 1 au 2 - 1.
3. Wachezaji wa Yanga watalaumiwa...
Nimesikitishwa sana na kitendo walichoonesha watu wa utopolo ndani ya dressing room kwa waarabu kama mbinu yao ya kuwadhoofisha kwenye mechi ya leo.
Mashabiki wa Club Africain wameandika katika...
Hii mechi unaanza kuichambulia wapi hasa kwa upande wa Yanga ? Maarifa hakuna , wapo slow sana , hakuna ubunifu , pasi zisizo na ufanisi , ni kama vile walishtukizwa kwamba leo kuna mechi na...
Kuna hali fulani hivi ya ushabiki naendelea kuiona si ya kawaida. Nadhani imesababishwa na kutazama mpira wa Ulaya.
Watu wamejitolea kwa jasho na damu kupigania mpira kuliko hata maisha yao...
Yanga ni sikio la kufa, halisikii dawa. Janja janja za GSM kwenye ligi letu ni matokeo yake haya. Haiwezikani ushinde kwa mipango mipango na kihuni kihuni halafu uweze kufanikiwa. Nikikumbuka game...
RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema...
FULL TIME
90' Sakho anaipaia Simba goli la tano
GOOOOOOOOO
81 Mtibwa wamerudi nyuma na kuwapa Simba nafasi ya kumiliki mpira muda mwingi
77' Simba wanafanya mashambulizi mfululizo
Phiri anaipatia...
Habari wanabodi, sote tunajua ukizungumzia mpira wa Tanzania basi unazungumzia Simba na Yanga. Kwa miaka minne mfululizo timu ya Simba imefanikiwa kutawala soka la Tanzania kwa kubeba ubingwa mara...
Ni sawa na mzazi kwenye shule ambayo mwanae anasoma na mtoto wa jirani yake. Huyu Mzazi hapendi kuona mtoto wa mwenzake anafaulu, kwahiyo anamhonga mwalimu mtoto wake apewe mtihani rahisi au...
Timu ya Yanga inakosa bahati ya michuano ya kimataifa hata wapangiwe vibonde vya namna gani wanakuwa wana struggle tofauti na Simba.
Simba wanaelekea kuwa kama real madrid na uefa champions...
Kwa mujibu wa wakale wake, Rafaela Pimenta amesema jeraha hilo litamfanya Pogba kukaa nje kwa wiki 3 akiungana na N'Golo Kante anayeuguza majeraha pia
Daktari aliyemfanyia upasuaji amesema yeye...
Nashauri kwa uongozi wa klabu ha yanga usipoteze nauli ya kuisafirisha timu kutoka Tanzania kwenda tunisia badala yake ipishe timu ya Simba Queens icheze kwa niaba yao pale Tunis. Huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.