Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mashindano ya Bonnah Segerea Cup yanatarajiwa kuanza tarehe 03/12/2022 hadi tarehe 18/01/2023. Timu 64 kutoka katika Mitaa ya Segerea 61, zitakutana kwenye Viwanja 8 vilivyopo Jimbo la Segerea...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Picha inaongea Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
2 Reactions
8 Replies
669 Views
Mashabiki wa timu ya taifa ya France mbona mmejikausha kana kwamba sio mabigwa watetezi wa kombe la Dunia amkeni mliko jificha tusiende mbali sana France ndio bigwa mtetezi wa kombe hili kwahyo...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Michuano itajumuisha Mechi 64 kutoka kwenye timu za Mataifa 32 duniani kote ambazo zinakutana katika taifa hilo lenye tamaduni za Kiarabu. Mechi ya ufunguzi inachezwa kati ya wenyeji Qatar dhidi...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Huwa nashangazwa sana na jina la hii timu, Naona Limekaa kichawi chawi sana. Hebu oneni Young Africans Sports club eti inapotajwa kiswahili inabadilika na kuwa Yanga Afrika? Kwanza maana ya Yanga...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Naona hapa Thomas Mlambo karudi Dstv kwenye Kombe la Dunia. Sijamuona kitambo sana.
1 Reactions
2 Replies
684 Views
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, kocha wa Horoya anayemaliza mkataba wake, Lamine Ndiaye anaweza kutangazwa muda wowote kuwa kicha mkuu wa Simba. Ameshawahi kufundisha TP Mazembe, Cotton Sports...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Yanga imefanikiwa kuingia mechi za makundi kwa uwezo mzuri wa kiufundi kisoka iiliouonesha pale tunisia.mbali na furaha hiyo kwa sisi wapenzi wa soka yanga inalizimika kujihadhali na kuporomoka...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Tangu Ruvu Shooting apande ligi kuu katika msimu wa 2016/17, amekutana na Simba SC mara 13 mpaka sasa. Rekodi za timu hizo mbili katika ligi kuu in kama ifuatavyo:- Ushindi: Simba SC 11-1 Ruvu...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Unajiuliza simba hii hii ilioshinda kwa shida kagoli kamoja dhidi ya ihefu timu ya mwisho mkiani,inapata wapi ujasiri wa kuifunga Ruvu goli zote hizo? Ruvu leo wapo kinyonge mno kila hali...
0 Reactions
7 Replies
544 Views
Yaani ni Moto. Ama zake ama zangu. Kocha analiwa kichwa. Huyu ndg potter aliambiwa amchukue kristiano anakadai hayupo kwenye mipango.. Soon Chelsea watapokea kijiti Cha man utd. Migogoro na...
0 Reactions
1 Replies
406 Views
Ndoto za mshindi huyo wa Tuzo ya Ballon d'Or 2022 kucheza michuano ya Kombe la Dunia inayofanyika Nchini Qatar imezimika baada ya kupata majeraha ya nyama za paja alipokuwa katika mazoezi ya timu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
DStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000. Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu...
16 Reactions
143 Replies
15K Views
Mbio za ubingwa wa ligi ya Tanzania kwa sasa unakwenda kimahesabu zaidi kwa wanaouelewa mpira wa kitanzania. Ni mapema sana kumtaja atayebeba ndoo kwa sasa lakini kimahesabu na kiufundi Vijana wa...
2 Reactions
1 Replies
967 Views
RAIS WA FIFA GIAN INFANTINO. Rais wa FIFA Gian Infantino ameibuka leo na kutoa kauli yenye utata ikiwa imebaki siku moja kuelekea ufunguzi wa mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Position No. Player Club Age Caps GK 1 Alisson Liverpool (ENG) 30 56 GK 23 Ederson Manchester City (ENG) 29 18 GK 12 Weverton Palmeiras (BRA) 34 11 DEF 4 Marquinhos PSG (FRA) 28 70 DEF...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Hawa jamaa wa umbumbuni leo wameifunga ruvu shooting goli 4 sasa tunajiuliza wao wametoa bahasha ya shingapi maana wakishinda wengine wanasema ni bahasha lakini wakishinda wao ni ushindi halali...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Watu wa Simba mtaacha lini kumjadili Chama? Au ndio tumaini pekee lililobaki huko kwenu? Ubora wake unafahamika. Sasa mnajadili nini? Naona mnakazana sana kuanzisha threads za kumsifia. Hadi kero...
2 Reactions
18 Replies
842 Views
◉ 1982 Rummenigge ◉ 1986 Platini ◉ 1990 Van Basten ◉ 1994 Baggio ◉ 1998 Ronaldo ◉ 2002 Owen ◉ 2006 Ronaldinho ◉ 2010 Messi ◉ 2014 Cristiano ◉ 2018 Cristiano ◉ 2022 Benzema [emoji777] [emoji3578]...
1 Reactions
1 Replies
390 Views
Wasenegal wanakera sana kitendo cha sadio mane kupata jeraha imekua kama wachezaji wote wamepata majeraha hii inaonesha ni jinsi gani Waafrica hatujiamini na hutanaimani na vitu tulivyonavyo...
2 Reactions
8 Replies
958 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…