Utaratibu wa Wagombea uliwekwa wazi na hata Fomu ulizopewa zilijieleza kuwa kunatakiwa kuwe na Mhuri wa Kisheria na Saini yako Wewe kwa Kujifanya Alwatan ndani ya Simba SC ulivyojaza umeweka tu...
GENTAMYCINE sitaki kabisa kuamini kuwa haya maamuzi ninayoyaita ya kipumbavu na kishamba yaliyofanywa na Kiongozi wa Matawi wa Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam ya kuwataka wana Yanga SC wote kususia...
Nimesikia mwanasheria na uongozi wa Yanga wanasema Feitoto hajafuata utaratibu uliopo kwenye kanuni za FIFA za kuvunja mkataba ambapo mchezaji ili avunje mkataba lazima kuwe na just cause...
Nimelazimika kuandika hivi kutokana na kauli za hawa vijana wauza sura wakisema thamani ya Fei Toto ni Bilioni 1.
Hivi inawezekanaje mchezaji wa Bilioni analipwa milioni 4 kwa mwezi yaani 48M kwa...
[emoji599]BARUA RASMI YA YANGA KWENDA AZAM JUU YA MAJADILIANO YA UHAMISHO WA JAMES AKAMINKO NA KIPRE JR.
- CEO Andre Mtine kwenye barua hiyo amewaomba Azam wafungue majadiliano ya wao Wananchi...
Legend Pele kahamishiwa Palliative care unit. Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena. Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa...
Ile connection ya Yanga imeonyesha vipaji vingi walivyonavyo wana Utopolo.
Nimeona dada ambaye ni kiongozi wa tawi la Yanga akijimanua hatari kabisa.
Kuna yule kijana wa kiume anayatawanya...
Wadhamini wa michuano ya CAF (club bingwa na shirikisho) ni total energies rangi yao ni nyekundu na huvaliwa na timu shiriki kwenye jezi zao.
Sasa basi Yanga mtavunjwa huo mwiko uko nyuma kwa...
Katika kipindi iki cha usajili kumekuwa na tetesi nyingi za Wachezaji kuhusishwa na hawa kulwa na doto ila la kustusha zaidi ni uyu miquissone kuhusishwa na hawa jamaa ukifuatilia tunavyosikia...
Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine,
Yaani tumejianda kwa vita wananchi...
Vyombo vya habari mnasikitisha sana, yaani wapuuzi wanakutana, wanapanga kwenda kuongea na nyie waandishi, hoja kubwa hawajui Feitoto alipo, wanatuhumu azam kwa kumrubuni, halafu walivokuwa wehu...
1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba.
2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi...
Japo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili.
Mbona wenzetu Simba...
Kwa umri wako na kiwango chako uko kwenye peak ya mafanikio, master mind wako amepanga hesabu zikapangika na wakajaa kwenye hesabu zenu, sasa wewe ndie mchezaji uatakayekuwa unalipwa mshahara...
Sababu ya kutoa maoni hayo ni kwa kuwa wana hofu yasije kujitokeza kama yaliyotokea kwa Cristiano Ronaldo ambaye aliwahi kuitumikia klabu hiyo kwa mafanikio lakini baada ya kurejea mambo hayajawa...
Mambo vipi WanaJf na wapenzi wa ndondi kwa ujumla. Hoja yangu ni kwamba mchezo wa Ngumi Tanzania au bongo ni wa Kimchongo sana, sioni maendeleo yoyote ya Ngumi zaidi ya kumtumia Mandonga kuuhadaa...
Kiungo mshambuliaji mpya Liverpool Cody Gapko aliyesajiliwa kutoka klabu ya PSV ya Uholanzi msimu huu amehusika katika magoli 21katika mechi 14 za ligi kuu ya Uholanzi alizocheza.
Amefunga jumla...
Kibu Denis
Mechi 7
Magoli 4
Fiston Mayele
Mechi 10
Magoli 3
Nawatakieni 'Upuuzi' mwema katika Kumsifu 'Kishabiki' Fiston Mayele huko katika Redio zenu ambazo GSM wanatoa 'Asante' kwa...
Usione vyaelea vimeundwa, Faisal amekuwa Faisal baada ya kunolewa na kupatiwa huduma stahili. Hakuna sababu ya kumzuia mchezaji asiondoke kwenye timu baada ya kufuata taratibu zote, maana hata...
KAULI YA MKUU WA MATAWI YANGA SC MKOA WA DAR ES SALAAM.....
'Kwa tulichofanyiwa na Azam FC juu ya Mchezaji Fei Toto ni Uhuni usiovumilika hivyo nitawahimiza wana Yanga SC wote nchini Kususia...