Wasichana wawili waishio nchini India wameonekana wakipigana barabarani na kusababisha foleni hadi askari walipokuja kuwatawanyisha, chanzo cha ugomvi huo hakikujulikana
1.Mdudu huyu aitwaye Polychaetes anaishi katika kina kirefu baharini.
2.Papa aina ya Goblin ana pua ndefu na meno makali.
3.Huyu ni konokono wa baharini wenye umbo la kipepeo (Thecosomata)...