Hapa kuna video za nyimbo tofauti ila izi zimeingia mjengo mmoja siujui unakodishwa kwa ajil ya shooting au ndio mjengo wa mtengeneza video....
Au ndio location hamna au kuiga
Hapa kuna muonekano...
Mcheki msanii Said Timbulo maarufu kama Timbulo, hitmaker wa mawe makali kama Domo langu zito, Wa leo wa kesho (sampled from X-Melea), Bado kijana, Samson na Delilah, Imekatika (ft. X-malea)...
Karibu wadau., napatikana mkoan mbeya najishughulisha na decoration za kwenye nyumba., kama picha zinavo jieleza hapa chini kwa mawasiliano Zaid nichek 0718930097, 0753422844