Ndio kusema hii video location ni nzuri sana au

Ndio kusema hii video location ni nzuri sana au

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,699
Hapa kuna video za nyimbo tofauti ila izi zimeingia mjengo mmoja siujui unakodishwa kwa ajil ya shooting au ndio mjengo wa mtengeneza video....
Au ndio location hamna au kuiga
Hapa kuna muonekano wa nyumba/location iyo ktk video za nyimbo izi...D
DIAMOND UTANIPENDA
PAPA DENIS BLESS ME
MB DOG SIO SIRI
BROWN MAUZO FT KIBA NITULIZE
MB DO
1474571543058.png
1474571558731.png
1474571567241.png
1474571573690.png
1474571644875.png
1474571653064.png
1474571660550.png
1474571668520.png
 
Mbona Jengo la Trump kila filamu Hollywood linaonekana? Acha watu wauze sura na mjengo...
 
Ivi me msanii nafanyaje vdeo kwenye nyumba ambayo inatumika mara kadhaa..godfather ajiongeze..
 
Sasa kama wametoa hela kidogo afanyaje, wangempa nyingi ubunifu ungekuwep
Au walimwambia "tunataka pale alipo fanyia baba tiffa" si unajua tena domo ndo icon
 
Kuna ile nyingine alipofanyia binti chemical wimbo wake wa sielewi
 
Halafu huwa nachukia wabongo wanavo lazimisha video za Bondeni akati bongo kina mazingira mazuri tuu. Sasa wanayo yapata ndio hayoo!!
 
Shida ni moja tuu wanatabia ya kukalili kwa hiyo South nzima hilo jengo ndio kali zaid kwa kutolea video zao ,wangejitahid wawe wabunifu
 
Shida ni moja tuu wanatabia ya kukalili kwa hiyo South nzima hilo jengo ndio kali zaid kwa kutolea video zao ,wangejitahid wawe wabunifu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja ntawafikishia huu ujumbe
 
Kipindi nyimbo ya utanipenda inatoka watu walisema hiyo ni nyumba ya zari iliyopo south africa ..pamoja na hizo gari..
 
Hujiulizi kila shooting ni South Africa pia!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom