''Mvua njoo Katarina usije''

''Mvua njoo Katarina usije''

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
congo-rain.jpg

Kila mvua kubwa ianzapo kunyesha huwa nakakumbuka hako kawimbo cha enzi hizo nikiwa mdogo.
 
Tulikuwa tunazuia mvua kwa kuchoma chumvi ya mawe kwenye moto. Vile inavyo pasuka tunaamini mvua haito kunya.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kwa taarifa yako "katarina" ndio katrina
 
Umenikumbusha siku sitasahau.nilifumaniwa na bonge la mvua la mawe nilikuwa shambani halafu hakuna miti nilitandikwa hadi nikawa naishiwa nguvu na pumzi damu zilinitoka siku hiyo maana mabonge ya barafu yalikuwa makubwa!usiombe kukutwa na mvua halafu hakuna pa kujificha
 
Hahahaha... inaonesha hukuwa na nia njema kwny shamba lq watu. Huo ulinz tuu wa mwny Shamba. Usirudie tena
 
Umenikumbusha siku sitasahau.nilifumaniwa na bonge la mvua la mawe nilikuwa shambani halafu hakuna miti nilitandikwa hadi nikawa naishiwa nguvu na pumzi damu zilinitoka siku hiyo maana mabonge ya barafu yalikuwa makubwa!usiombe kukutwa na mvua halafu hakuna pa kujificha

Haukulemaa?
 
Back
Top Bottom