Picha inajieleza. Sinaga maneno mengi kwenye hili.
NB: Wanawake wote ambao ni wasaliti wote peponi mtaishia kupasikia tu.
Yaan sio kabisa. Acheni usaliti.
Jamani
Nimekutana na picha hizi za nchi ya Singapore. Nimeshangaa sana
Hivi Afrika changamoto nini? Mbona hawa jamaa walikuwa sawa kabisa na Tanzania mwaka 1965
Singapore kwa sasa
Kaka Pascal Mayalla, huyu ni Kibo Marreale mtoto wa Mangi Mwitori Petro itossi Marreale, huyu ni fisi na simba na apumzike anapostahili alikuwa mnyama na muuaji