Hivi ndivyo linavyoonekana.hongera sana serikali kwa juhudi kubwa zilizofanywa kuhakikisha kuwa serikali inahamia dodoma haraka iwezekanavyo. Hapa kazi tu
Kama wewe ni mtu mweusi basi nakushauri ukienda kusini mwa Italia kuishi haswa visiwa vya Sicily basi kuwa makini sana.
Tangu zamani kumekuwa na upinzani kati ya south na North Italy ,hawa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuombea Waziri
Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya mara baada ya kumaliza mazungumzo yao nyumbani kwake
Upanga jijini Dar es Salaam.