Kama wewe ni mtu mweusi ukienda Italia kuwa muangalifu ,usimchokoze msicily

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,476
4,447
Kama wewe ni mtu mweusi basi nakushauri ukienda kusini mwa Italia kuishi haswa visiwa vya Sicily basi kuwa makini sana.

Tangu zamani kumekuwa na upinzani kati ya south na North Italy ,hawa Sicilians huwa wanaambiwa wana DNA/damu ya black sababu wahamiaji kutoka Afrika zamani wali settle visiwa vya Sicily na maeneo mengine ya kusini

Italia kuna ubaguzi wa ndani kama miji ya Palermo na miji mingine wapo proud na sehemu zao

Sasa wewe black nenda baadhi ya maeneo ya Italy haswa kusini mwa Italy kwa hawa wasicily ukipigwa makonde ,kurushiwa vitu na harrass zingine usishangae na kuwa muangalifu usimchokoze msicily sababu wanachukia sana kuambiwa wana damu ya kiAfrika
na ni wabaguzi sana na huwa hawapendi ku interact na black na cases nyingi za ubaguzi wanayo

3f0688a7bec41fc172605c8cb0dff119.jpg

66efce13d9f8e10fef8219a9c2f86808.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Oxx
kina don corleon hao kina godfather au cosa nostra ili uelewe mafia ndio walianzia huko
 
Kwa ujumla nchi za Mediterranean zote ubaguzi umezidi kipimo kwa sababu hiyo. Wanajishtukia sana, wanatamani wangekuwa blonde na blue eyes lakini haiwezekani. Mtu mweusi aliacha mbegu miaka mingi iliyopita na hii inawaumiza kichwa sana. Wakijifanya wabaguzi mi uwa nacheka tu kwasababu hawana lolote njaa kali tu. Kama hao Wasicily ndio hawana say kabisa, maisha yanawatandika kisawasawa. Rhumba tu wakija Bongo wanaona New York
 
mkuu bongo km New York noma sana
 
Back
Top Bottom