Ndugu wana Jf mimi nimeamua kurudi kijijini kwa moyo mmoja kabisa maana naona mvua zimeanza kunyesha na hapa mjini hamna mashamba ya kulima. Nitarudi tena msimu wa kilimo ukiisha.
December 05, 2013, zilitoka taarifa za msiba wa hayati Nelson Mandela Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini na mwili wake ulizikwa December 15 katika kijiji cha Qunu mkoa wa Eastern Cape Afrika...