MIX Picha10: Nyumba aliyowahi kuishi Nelson Mandela kabla na baada ya kutoka jela Afrika Kusini

The Certified

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
910
773
DSC_0202.jpg

December 05, 2013, zilitoka taarifa za msiba wa hayati Nelson Mandela Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini na mwili wake ulizikwa December 15 katika kijiji cha Qunu mkoa wa Eastern Cape Afrika Kusini.

Ikiwa imepita miaka kadhaa tangu rais huyo afariki Dunia The Certified anakusogezea Picha za nyumba aliyowahi kuishi Nelson Mandela enzi za uhai wake kabla na baada ya kutoka jela akiwa na mke wake Winnie Mandela

Nyumba hiyo ipo mtaa wa Vilakazi Orlando west Soweto na imepewa jina la Mandela House, kwa mujibu wa mpokea wageni anasema watu zaidi ya 1000 kwa siku hutembelea sehemu hiyo ya makumbusho. Salute Kwa Millardayo.com

DSC_0231.jpg


DSC_0229.jpg


DSC_0209.jpg


DSC_0211.jpg

Baadhi ya vitu aliwahi kutumia Nelson Mandela

DSC_0208.jpg


DSC_0228.jpg


DSC_0226.jpg

Jiko alilowahi kutumia Winnie Mandela

DSC_0216.jpg
 
Naijuwa nyumba yenyewe..nilifika hapo mwaka 1999.kipindi hicho ilikuwa bado haijaboreshwa kama ktk hizo picha.
 
Back
Top Bottom