titimunda JF-Expert Member Nov 26, 2014 7,571 9,782 Jan 23, 2017 #3 Hii inawafaa wenye familia kubwa una familia kubwa wewe?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,203 157,374 Jan 23, 2017 #5 Toyota Wish nzuri sana kwa mjini na vijijini INA space na inakula mafuta vizuri
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,277 15,522 Jan 23, 2017 #8 Ulishawahi kuipanda? Au unaionaga tu inapita
Yamakagashi JF-Expert Member Sep 19, 2016 8,614 17,620 Jan 23, 2017 #9 Teh jambazi bana asante nimejua unamiliki hilo gari
Ifumange JF-Expert Member Oct 21, 2016 902 1,071 Jan 23, 2017 #10 We una lako lingine..! WISH mbona gari nzuri tu.
Kinyerezi JF-Expert Member Jan 28, 2009 486 149 Jan 23, 2017 #11 Mojawapo ya gari nzuri, carrying capacity same with Cruiser.
bashiganye Member Jul 11, 2016 38 25 Jan 23, 2017 #12 Alitaka kujua watu wanasemaje juu ya gari hyo ili anunue au aache
Access Denied JF-Expert Member Aug 10, 2012 655 210 Jan 23, 2017 #13 Ameishapata ushauri sasa maana aliuliza ili ajue uzuri wa gari husika kwa njia ya mkato.
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Jan 18, 2013 3,208 2,090 Feb 24, 2017 #14 Jambazi said: Click to expand... sizitaki mbichi hizi
che-tah Member Feb 11, 2013 58 26 Feb 24, 2017 #16 Watu bwana sizitaki mbichi hizi ...mtatembea kwa miguu hadi iote alarm.
Dr.adams faida JF-Expert Member Mar 11, 2013 1,874 3,306 Feb 24, 2017 #17 Acha maneno nunua gari blah blah hatutaki kusikia
Nokia83 JF-Expert Member Jan 16, 2014 24,644 44,288 Feb 24, 2017 #18 Hehehehehe...nakumbuka wakat nanunua vitz nlikuwa naiona km benz,i cn undrstnd u