Ndugu wana Jf mimi nimeamua kurudi kijijini kwa moyo mmoja kabisa maana naona mvua zimeanza kunyesha na hapa mjini hamna mashamba ya kulima. Nitarudi tena msimu wa kilimo ukiisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.