Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Dah ndo hvy enzi hizo wananadianaAsee kweli humu duniani maisha ni mafupi sana,
majuzi tu hapa jamaa ndo anagombea ubunge,alikuwa na nywele zake timamu nyeusi,ngumu zenye afya,
saa hizi ndani ya mda mfupi nywele zimebaki dhoofu hali halafu chache,
huyu mwingine yeye sijui anakula nini asee maana nae hazeeki kabisaaaa
mkuu hiyo ni 1995, yaani 22yrs back unasema ni majuzi??? mtu aliyezaliwa 1995 ana degree unasema ni majuzi??? acha masihara mkuuAsee kweli humu duniani maisha ni mafupi sana,