Wale tuliokuwa tunapenda game consoles mnakumbuka?
Nilianguka mtihani wangu wa darasa la nne kwa kucheza gameboy catridge ya supermario bros yaani nilikuwa sisomi.
Kama tunasubiri NOAH tuendelee n tutafute kiti cha kukalia maana naona hii Inchi kila jambo ni kama Ndoto za mchana!
Sent using Jamii Forums mobile app