Kavideo kafupi: Kumbukizi ya hasira za rais Magufuli, naona Kama siku hizi soda inapoa

Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Rais wetu ana nia ya dhati kabisa kuhakikisha kuwa kuna kuwepo na matumizi sahihi ya fedha za uma katika miradi ya wananchi. Hili ni jambo la kuungwa mkono na kila mmoja wetu.
 
Rais wetu ana nia ya dhati kabisa kuhakikisha kuwa kuna kuwepo na matumizi sahihi ya fedha za uma katika miradi ya wananchi. Hili ni jambo la kuungwa mkono na kila mmoja wetu.
Ni kweli kabisa natoa wito kwa wote wenye mia njema kutoka kila kona ya nchi hii kumuunga mkono..

ila si kwa kujenga international airport sijui ghorofa la TRA na taa za barabarani huko chattle, kununua ndege kwa hela ambayo haijaidhinishwa na bunge
 
Rais wetu ana nia ya dhati kabisa kuhakikisha kuwa kuna kuwepo na matumizi sahihi ya fedha za uma katika miradi ya wananchi. Hili ni jambo la kuungwa mkono na kila mmoja wetu.
The road to hell is paved with good intentions.

Nia safi tu haitoshi.

Hata miminaweza kusema nina nia ya kuwa bilionea in US dollars.

Lakini kama sina realistic plan, knowledge,understanding,the right demeanor and a keen inclusivity ni bure.

Nitabaki kwenye wild goose chases na false starts tu.

Uchumi unaanguka, jana nimeona headline inaongelea hili kuhusu viwanda. Watu wanafunga biashara kwa sababu hawana imani na serikali na mzunguko wa fedha umedhoofu.Benkikuu imeshusha riba kutoka asilimia 16 mpaka 9 kuchochea mzunguko wa fedha, lakini ukiwa na rais ambaye hana vision kama Magufuli, hilo ni bure tu.

Kwenye siasa anakamakamata kijinga mpaka anajiondolea credibility.Eti leo East Africa Uhuru Kenyatta ndiye anaonekana star wa demokrasia!

Huo ndio ukweli mchungu.

Magufuli alikuwa na political capital kubwa sana,kaifuja na sasa anakoelekea ni kubaya sana.

Wewe nchi mpaka wanajeshi wanaandika barua hawamtaki, barua imepelekea mpaka afanye mkutano na wakuu wa majeshi wa sasa na wastaafu, unafikiri kitu kidogo hicho?
 
...kisa nini ina maana huyo mhindi aliyenyang'anywa passport ni mkenya au?
 
Back
Top Bottom