Nimekutana na hizi picha mbili (Kutoka kwa Issa Michuzi) za dada mwandishi akiwa anamrekodi Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alipokuwa Mloganzila Hospitali akizungumza na waandishi wa habari. Hizi...
Huyu jamaa anaitwa Ken Nwadiogbu, ni mchoraji kutoka Lagos, Nigeria. Kama picha zinavyojieleza ametumia penseli tu
Hapo chini mwonekano wa karibu wa hiyo picha ametumia penseli na peni tu