Hapa dereva wa daladala 'matatu' anapokea faini kwa kukeuka sheria na kanuni barabarani. :D Kauli yao kuu, 'Utumishi kwa wote!' Uuulaaalah! Ce've pa bien! [emoji8][emoji7]
Baadhi ya picha kutoka kwa photoshoot za matineja wa Nairobi 'Naii' zilizosababisha wakenya kuibuka na hashtag maarufu, Ifikie Wazazi. Ili kuwafahamisha kuhusu tabia za watoto wao, ambao ni...