Mwigulu Nchemba enzi hizo, akiwa mwanafunzi Ilboru Sec School

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Ilboru Sec nilimaliza hapo miaka kadhaa iliyopita, kuna watu maarufu hapa JF wamemaliza hapo pia akiwemo Pascal Mayalla, Mwigulu Nchemba, Tundu Lissu
WhatsApp Image 2017-05-01 at 18.10.15.jpeg
 
Mkuu asante kukumbushia shule yetu, niliitembelea hali niliyoikuta ilikuwa ni hali ya kutisha na kusikitisha hivyo nikashiriki kwenye kampeni hii.

Wana Ilboru Na Wengine Wenye Mapenzi Mema, Tuungane Kuichangia Shule ya Ilboru

Paskali
Mkuu niliona video zako Youtube ukiwa unaongea na walimu na staff wengine wa pale na kutembealea majengo yaliyochakaa, ila kwa sasa hivi ina hali nzuri tofauti na zamani, mabweni, madarasa, dining hall zimekuwa repaired, ilikuwa ni kampeni nzuri sana nanilikuwa inspired
 
Back
Top Bottom