Wengi wetu tumeshacheki muvi nyingi za kampuni ya marvel...kama avengers,captain america, n.k sasa ukiambiwa uchague,utachagua mask gani unayoikubali hapo ?
Hawa wamefanya mtihani wa std 7 juzi hivyo wanatarajia kuanza form WANU mwakani. Ndugu zangu walimu wakiume kwa jinsi vyuma vilivyokaza najua mnastress sana ila chondechonde msijesema...
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kitu kinachowasukuma dada zetu,wa kitanzania kutojikubali walivyoumbwa na badala yake kujiongeza kwa kuvaa mawigi kujichubua na mengi mengineo.
Siku zote...
Sikuwahi kujua kama Mr Lipumba ana mtoto mkubwa kiasi hichi, watu wanatumia vibaya siasa zao kusema hana mtoto wala mke.
Kijana Huyo ( Mussa Haruna)
Anaishi Norway jimbo la Nordland ni...