..Hawa ndio marais bora kwa ukanda huu wa afrika masharika na sura zao za unyenyekevu.View attachment 862717
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DSE Imeweka viwango vipya vya bei la bangi kutoka 300 kwa kete moja hadi 250 kwa kete moja, naona kwa hii bei kila mtu anaimudu
[emoji23] [emoji12] Mbona umemhukumu mkuu ?! Kwani hizo si ni sura zao ?! au wanatoka nje EAC?!DSE Imeweka viwango vipya vya bei la bangi kutoka 300 kwa kete moja hadi 250 kwa kete moja, naona kwa hii bei kila mtu anaimudu