Picha za wasanii wa kundi la Ze Komedi zilizoonekana hivi karibuni wakiwa ufukweni na mabinti wasiojulikana, maeneo ya Kigamboni zimezusha gumzo huku familia za wasichana hao zilikija juu sababu...
Unamuangalia mwenzio kama mnyama kisa tu unajifanya wewe mtetezi wakat kuna jirani yako mtoto wake kafukuzwa shule yuko nyumban tu,
Kuna ombaomba wamekuzunguka lakn hujawahi kuwasaidia