Mungu ibariki Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,503
217,754
MATAGA!!!!.jpg
 
juzi TRA hapa kitaa walimfungia mlango wa biashara mama mmoja ili akakate leseni..
Huyu mama anauzaga soda kreti mojamoja na vitunguu na nyanya kidogo, na viberiti..
Mama kakopa alipotimiza leo kaenda kuwapelekea hizo hela apewe leseni..
Walipomfungulia zile soda kwenye kreti ni vigae tu ndio vimebaki maana juzi hawakumpa nafasi ya kuzima kifriji..
 
Back
Top Bottom