Askari Magereza akiwa na silaha mbalimbali ikiwemo bunduki ya SMG na manati kiunoni kwake wakati akiimarisha ulinzi katika Mahakama Kuu Dar es salaam kabla ya Freeman Mbowe na Esther Matiko...
Baada ya vikao vya bunge, wabunge kadhaa wa Chadema walionekana kumkimbilia mbunge Musukuma kujaribu kupata ufafanuzi na maelezo ya masuala kadhaa. musukuma naye bila hiyana aliwasikiliza kwa...
"Picha hii nilipigwa nikiwa na huyu mbunge mwenzangu, Vicent Nyerere (kulia), lakini huyu wa kushoto (Joshua Nassari) hakuwepo karibu yangu kabisa! Yeye alikuwa mbali akiamrisha vijana...