Kinachoendelea Kenya mida hii

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,428
MK254 NairobiWalker pingli-nywee
51915503_582232638933763_5310682917830131712_n.jpg
 
Hawa majamaa Wana force Sana kiswahili
na bahati mbaya hawakiwezi na kukijua

kizungu nacho shida
ukabila umetamalaki

WANATIA HURUMA SANAA
 
Hehehe!! Hapo natumai alitegemea kusema liligongana na basi la Eldoret Express...Kweli mnafuatilia Kenya balaa, haya karibuni majirani.
 
MSAGA SUMU katika ubora wake. Eldoret Express ni kampuni inayomiliki mabasi ambayo yana umaarufu mwingi, kwa wasafiri nchini Kenya. Safari za mabasi yenyewe huwa ni za kuelekea kwa shemeji zetu kule Western, wale ndugu zenu wale. Kina Omwami, wenye mahaba ya kweli na 'Obusuma'. Umewaelewa eeh? :D:D:D
X5MYYP0Gcwimages.jpeg
 
Back
Top Bottom