Wasalaam nimetafakari kwa uwezo wangu nimeshidwa kuelewa, hapa kipanya akimaanisha nini? Mti au kisiki? Naombeni mwenye uwezo kuchambua katuni anisaidie tafadhali na huyu mwenye shoka ni ndugai au...
Mimi nilimuandikia mashairi ya kufa mtu. Kisha nikasahau kuichomoa barua yake kutoka kwenye kurasa za daftari langu la sayansi. [emoji1][emoji1][emoji1]
Haille Selassie Wa gwan Rastafari I Conquer the Babylon King of Lion..Pichani ni Baadhi ya Wabunge wa Jamaica wakiwa Bungeni wakifuatilia mjadala mujarabu...Yah Man Jah Bless Em'..Bless bless...