WABONGO WENGI WAO WANALALA STOO


ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
6,641
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
6,641 2,000
Wengine tunalala viwandani
 
de98

de98

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Messages
357
Points
250
de98

de98

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2017
357 250
ah tupe source ya utafiti wako basi..
tatizo uchumi wetu wa tz ndo unapelekea tuishi kwa kujibana bana mkuu we mtu
umepanga chumba ki 1 unataka ununue kila kitu ufanane kama yule anae ishi sawa nyumba familia nzima

pia wabongo tuna kasumba ya kautamaduni ketu ka kuishi na vitu na vyombo ,madumu,na vitu vingne ndani kulingana na tulipo kulia hasa uswahili hata kama una vyumba vya kutosha
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,206
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,206 2,000
Ndio mkuu ukiamka unaona mali zako zote ziko salama,huku kijijini kwetu tuna lala na kuku,kondoo,mbuzi,paka na ng'ombe zetu ndani hatutaki ujinga.
Hazihitaji ulinzi
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,206
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,206 2,000
Ukitaka kuona mjini pagumu usiwe na pakulala.....acha tuendelee kuishi stoo
 
NGANYIKA

NGANYIKA

Senior Member
Joined
Jan 6, 2015
Messages
144
Points
225
NGANYIKA

NGANYIKA

Senior Member
Joined Jan 6, 2015
144 225
Mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa. Unajifanya hujui ulikotoka nenda kwa Babu na Bibi yake kawaulize kwa mini walikuwa wanalala na mbuzi na kuku ndani.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
24,059
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
24,059 2,000
Inasikitisha sana...

Ukiachilia mbali kulala store...

Pia kuna wanaolala usingizi na wale wanaojiegesha ili mradi pakuche...Cc: mahondaw
 

Forum statistics

Threads 1,286,228
Members 494,902
Posts 30,887,738
Top