Yule msanii maarufu wa vikatuni anawatakia watanzania kwa kuwawekea katuni fikirishi.
Kila mwananchi mwenye uelewa basi aitafakali
Sent using Jamii Forums mobile app
She looks good. Yule mdada wa Los Angeles, aliyemkashifu Mbuta Nanga kwa kumuitA ZINJATHROPUS hakuwa fair. Flora , you look good bana, dont let no one tell u otherwise....
Huyu ndio pimbi, pimbi ni kamnyama kadogo kenye harakati nyingi zisizo na maana, yaani yeye yuko busy for nothing,
Pimbi anaweza kutoka speed kichaka kimoja na kwenda kingne pasipo sababu yoyote...
Nadhani huyu fundi ndio mtu jasiri kabisa duniani. Yani pamoja na huyu mjomba kuogopwa ila yeye anamshonesa jisuruali kama ligunia[emoji23][emoji23][emoji23]
"Ruzige"