Baada ya mabadiliko yaliyofanywa kwenye website hii, naona picha zingine ni ndogo (thumbnail) na nyingine ni kubwa zinaonekana vizuri. Hivi ni kwa njia gani mtu anaweza kuweka picha itokee kubwa...
NAAM TUJIKUMBUSHE ENZI HIZO ZA MIAKA NENDA
NAAM HAPA ZANZIBAR IKIWA NA GARI MOSHI MIAKA YA 1900 NA KENDA, JAPO NYMBA ZAO FULL SUIT
NAAM MASHINDANO YA NGARAWA YAKIFANYIKA FORODHANI, ENZI...
Hivi ukaletewa picha ya mama/baba watoto wako ukaambiwa ushahidi huu hapa tumemfumania utakubali ?, ukizingatia katika dunia ya leo hata umkute "live" atakanusha kama movie za wanigeria......"I...
MMmmmh inawezekana tunaleta sana picha za huyu first lady mpaka inaboa kuna mengi ya kujiuliza......!!!
hivi ni kweli hawa watu ndio maisha yao au ndio for the seki ofu pics...kuna yeyote anayejua...