Nchi Yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi Yetu

Discussion in 'Jamii Photos' started by TandaleOne, Sep 6, 2010.

 1. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mbona nchi yetu nzuri? Ina kila kitu. Kila mwananchi anaweza kupata chakula, akavaa VIZURI, akajenga nyumba bora kama sio hao wezi wa CCM akina RA, EL na JK, kwani ndiye mwenye mamlaka ya kukataa kula au la. Tuombe Mungu siku moja ya maisha yetu tufaidi matunda ya nchi yetu hii nzuri.
   
 3. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  CHADEMA nao wezi mdogo wangu.Hujaushtukia mchezo????
   
 4. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Hapana Mkuu, tatizo siyo JK, EL, RA...hata kidogo...tatizo ni CHAMA CHA MAPINDUZI, hakina mpya...JK akiondoka leo madarakani CCM ikibaki, hali itakuwa hivyo hivyo, nyika tupu hakuna litakalokuwa...tatizo pia wananchi...mimi nikiona maelfu kwa maelfu ya watu wamejazana wanamsikiliza mgombea wa CCM kwenye mkutano, tumbo huwa linansokota napata kama homa vile, najiuliza hivi hawa watu wana miili ya chuma?
  Mbona mimi nahisi maumivu ya njaa, maradhi na ujinga, wao wenzangu hawayaoni? kama wanayaona hawajuwi haya yanasabishwa na nini? kwanini bilisi mbaya halafu unamwabudu...? labda kweli bilisi (CCM) mbaya lakini mapambao yake (ahadi za uwongo) mazuri
   
 5. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,835
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  So tuendelee kuibiwa?
   
 6. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  The best thing that people have is feeling satisfied for what they have and appreciating it and on top of that,a hope that with the government and the party they love they'll get there.
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Halafu wazungu wakija wakijidai kuwa wawekezaji CCM inawafukuza raia kwenye maeneo yao waliyoyazoea na kuwapa wazungu eti ni
  wawekezaji. Ndiyo CCM hiyo.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Hakuna mtu anayependa kuibiwa ipo siku tu hao wezi siku zao zitafika.
   
 9. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Intellectual failure.
   
 10. C

  Chamkoroma Senior Member

  #10
  Sep 7, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ekari 500 zote zangu najiandaa kustahafu, hata kama hukai huko eti wewe ni mpenda nchi au ni mponda nchi Chukua chako mapema bado wamelala siku itafika mtajuta, tutayachukua mashamba na mastedium na mtamkumbuka Baba wa Taifa.
   
 11. m

  madiya Member

  #11
  Sep 7, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi naumwa sana napoona watz wenzangu wakisikilza sera za shetani ccm na wafuasi wake hasa huyo JK daaa maisha bora kwa kila mtanzania kweli ni bora liende kajamaa kenyewe maisha bora kwani kamesafiri duniani koote mpaka kameanza kurudiarudia safari hii kakishinda kataenda mwezini na sayari ya maris huku duniani kamemaliza nafikiri huyu jamaa alitamani sana kuwa rais ili afanye safari za hapa na pale daaa ni bora kangetuachia maisha yetu yaleyale ya siku zote kuliko haya bora ccm na viongozi wake wamegawana nchi yoote wanafanya wanavyotaka tena walivyo washenzi wanawaandaa na watoto wao waje wawe mafisadi wa baadae si mmeona jamani akina January Makamba, Ridhiwani Kikwete, mtoto wa mzee mwinyi sasa ni waziri jamani watz hamuoni tuamke jamani
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  the photo is useless kwani hujaleta theme yeyote... angalia avatar ya senator ujue beauty ya nchi. nikadhani utasema JK ataweka the biggest vegetables processing industry or something... wewe umekaa unacheka-cheka tu na majani

  leta sera wewe uliyetumwa
   
 13. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Ilani ya chama ipo hapa JF,ila si mbaya pia nikikuwekea link yake ina era zoteeeeee unazotaka kujua.Hapa http://www.ccmtz.org/ilani/ilani.pdf
   
 14. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Am still thinking
   
Loading...