VIDEO - Mtoto wa Miaka Miwili Anayevuta Bangi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO - Mtoto wa Miaka Miwili Anayevuta Bangi

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 18, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  <table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="width: 506px; padding-left: 7px; padding-right: 7px;"><table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">
  </td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
  [​IMG]
  Mtoto wa miaka miwili wa kike wa nchini Marekani akivuta bangi</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Friday, September 17, 2010 8:33 AM
  Polisi wa nchini Marekani wametoa VIDEO inayomuonyesha mtoto wa kike wa miaka miwili akivuta bangi.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Polisi wa nchini Marekani wametoa video inayomuonyesha mtoto wa kike mwenye umri wa miaka miwili akivuta sigara ambayo imechanganywa bangi.

  Polisi wa Cincinnati, Ohio nchini Marekani walitoa video hiyo ambayo mama wa mtoto huyo anayeitwa Jessica Gamble mwenye umri wa miaka 21, anasikika akimfundisha binti yake huyo jinsi ya kuivuta vizuri bangi.

  Taasisi inayoshughulikia masuala ya familia ya Ohio, ilipewa video hiyo mwezi uliopita na mtu ambaye alishuhudia tukio hilo lilipotokea mwezi juni mwaka huu.

  Mama wa mtoto huyo huenda akatupwa jela miaka 11. Pia mama huyo anakabiliwa na kesi ya madawa ya kulevya na atapandishwa kizimbani baadae mwezi huu.

  ANGALIA VIDEO YA MTOTO HUYO CHINI.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; text-align: center; width: 491px;">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;">
  </td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td style="width: 506px;" height="15"> <table style="width: 488px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"> <tbody><tr> <td style="width: 429px;">
  </td> <td style="width: 249px;">
  </td> </tr><tr><td style="vertical-align: top;">
  </td><td style="vertical-align: top;">

  chanzo: NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
  </td></tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> </tr></tbody></table>
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. k

  kisoti Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha huyo mtoto kuvuta bangi kinashangaza kwa sababu ni mojawapo ya madawa ya kulevya. Swala la kujiuliza hapa ni wazazi tuna jukumu gani la kuhakikisha watoto wanalelewa katika maadili mema?Ni wazazi wangapi wanakuwa na muda na watoto wao japo kufahamu tabia zao anagalau kwa sehemu. Watoto hujifunza mengi kutoka kwa wazazi na kwa wanaowalea. Kama mzazi unaporomosha matusi mbele ya mtoto usishangae kumwona nae akianza kuporomosha matusi,kama unakunywa pombe na unavuta sigara au bangi mbele ya mtoto usishangae mtoto akaanza kuwa na tabia kama hizo. Watoto huamini anachofanya mzazi kuwa ni bora na kinapaswa kuigwa.
  Take care of your children, protect the future nation.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...