Wanajamii, kwa wale ambao wenzangu na mie ambao tulikuwa bado hatujaona aina hii ya kaburi. Naona binadamu tunapoelekea sipo. You can imagine kaburi lina hadi flat screen na DVD Player... ha ha ha...!
Mkazi wa Kijiji cha Malowa, Kata ya Kibati, Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, Mwanahawa Rashid (katikati) akiwa amebebwa na kijana anayefanya shughuli za kuwavusha wananchi ndani ya mto...
mabinti hawa majuzi walikabidhiwa nondo walipomaliza elimu zao huko INDIA...kwa kweli nawapongeza bila kujali mmezipataje..siitaji kulinganisha uchafu unaofanyika UDSM na india maana sijafika na...
Wakazi wa Kijiji cha Samunge wa kabila la Wasonjo wakifurahia huduma ya mawasiliano ya simu baada ya kampuni ya simu ya Airtel kuzindua mnara wa mawasiliano kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo ya...
Jamani naona kama Samuel Sitta amelowa jasho kutokana na hilo shati alilovaa. Je, katoka jasho kwa sababu ya hoja za wazanzibari? Je, ukumbi hauna Air con? Je, ni afya njema? Je, ni matumizi...
Wanajamvi wenzangu,
Huyu Mh. aliye kushoto ni Rais wa Jamhuri ya watu Czech, alifanya ziara nchini Chile wiki kadhaa zilizopita. Angalia hii video kwa makini uone alichofanya mbele ya waandishi...
Jumatatu imewadia nawatakia mwanzo wa wiki mzuri na mafanikio mema wknd yangu nilienda mtembelea my bf.
Hii ndo niliokutana nayo si vibaya kushare na wana JF