My Take: Kama wizara ya nishati na madini haitaamua kuwa serious na hili suala la umeme, tutafika mahali watu wataiba hizo nyaya za umeme, kwa ajili ya kutegea Kiboko, maana haziwasaidii chochote.
jaman katika watu wanaojifanya wabishi wamasai wanaongoza, sasa huyu jamaa yuko uchi halafu nashindwa kuelewa amekalia nini? hebu jionee mwenyewe.............